Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
wanajamvi mi kijana mwenye umri wa miaka 23,kwa sasa ni mwanachuo hapa udsm.nimekuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye nimepanga kumuoa aje awe mke halali.mdada huyu ye ni mwalim wa secondary huko mkoani,kabla ya mi kurudi huku dar chuoni nilikuwa naye kwa mda fulan ka week mbili hivi.lakini baada ya mi kuwa nimeondoka watu anaoishi nao wanasema amebadirika kkiasi cha wao kutokumwelewa vizuri!amekuwa akiomba ruhusa za mara kwa mara kwend mjini bila reason maalum,alaf kunatuhuma zngine nyingi tu ambazo yeye amezkana kabisa...hivi sasa mpaka naandika uzi huu yeye hayupo tena kituon amesafiri kwenda kumwona mamake.ila kabla ya kusafiri alinijulisha anakwenda tu nyumban na nilipomuuliza anaenda kufanyeje akasema anataka akaonane na babake aliyeko mwanza...ila jana kabadili na kunieleza anaenda kumwona mamake-mzee na mama hawaishi pamoja.inasemekana kutoka vyanzo vya uhakika kuwa amekuwa na uhusiano hivi karibun na mwalim fulan aliyekuja hapo shulen kwao ksimamia mtihani wa kidato cha nne......jamani nishaurini nifanyeje!? kwa sababu kila nikimuuliza anakataa na kusema haiwez ikatokea hivyo hata siku moja....msinikejeli kwa kuwa hiz ni changamoto za maisha ndani ya mapenz.naomba kuwasilisha uzi huu kwaajili ya msaada wenu tafadhari...
Nakushauri fanya uchunguzi wako wa kina na utafahamu kama huyo dada anakucheat au vipi. kama unataka kujua umchunguzeje ni pm ntakufundisha, im serious!!