Urgent please computer yangu ukifungua my computer ukitaka ku open kitu akifunguki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urgent please computer yangu ukifungua my computer ukitaka ku open kitu akifunguki

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Original Pastor, Jan 26, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana JF habarini za Usubuhi poleni na majukumu ya hapa na pale.
  Naomba msaada wa haraka nikitaka kufungua kitu kwenye my computer hakifunguki na mimi natumia NOD32 ANT VIRUS kwani pia inagoma ku update sasa naombeni msaada. Naenda kwenye my computer na open then nataka kama Drive C au F ni open inagoma. na Msaada mwingine ni kuhusu hii NOD32 inagoma ku update sasa mimi nimeshindwa kua update naombe msaada kwani hata maswali yangu nimeyaweka kama story please nahitaji mda huu.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mara ya mwisho ndio wewe uliokuwa unataka pirated softwares si ndio wewe ? hakikisha cha kwanza unatumia programu ambazo sio pirated inluding hiyo antivirus uliyo install
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Ile ni Computer ya mtu nilianzima ikaniharibikia na hii yangu nilinunua ikiwa na ipo na program hizi pamoja ant virus sasA ACHA HIZO BANA NISAIDIE
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Najaribu kukuPM lakini nashindwa,labda naweza kusaidia japo kidogo
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi ni kufanya system restore

  Zima unapowasha Bonyeza f8 nenda kwenye safe mode kisha chagua kufanya system restore chagua siku ya mwisho ambayo comp yako ilifanya kazi uzuri ikikubali tumia utilily kama windows care au arafasoft itaweza kukusaidia kuondoa kasheshe nyingi sana kwenye computer yako
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  shy yuko makini. killing u softly.
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu jaribu kufuata hatua hizi labda zaweza kusaidia kuondoa tatizo lako

  1.Fungua Start>>Run kisha type cmd na upress Enter..Hii itafungua command prompt window,kwenye command prompt window type hatua zifuatazo

  2. type cd\

  3. type attrib -r -h -s autorun.inf

  4. type del autorun.inf

  5. now type d: and press enter for d: drive partition. Now repeat steps 3 and 4. Similarly repeat step 5 for all your hard disk partition.


  Baada ya hapo Restart computer yako..kama mambo yameenda fresh tatizo lako litakuwa limeisha


  NB

  Kama vp waweza ku right click pale kwenye drive unayotaka kufungua then una click Explore(kama una shida sana ya kuziangalia hizo files) hapa drive itafunguka na unaweza kuangalia mafaili yako
  Ikishindikana kabisa itabidi uformat upya Drive C yako na kuweka Antivirus nzuri au unaweza kufungua hapa http://www.troublefixers.com/scan-and-remove-suspicious-autoruninf-with-autorun-eater-virus-removal-tools/ na hapa http://www.troublefixers.com/tag/autoruninf/
   
 8. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Mkubwa nashukuru sana wewe na Shy amenisave sana ila Shy anamadongo sana. Wewe kwa mchango wako nimefanikiwa pia nawashuru sana inabidi nirudie rudie haya. Poleni kwa majukumu ya kujenga Taifa letu
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Op
  kemea visasi kuna vifaa vingi mtu anatengeneza huku anatangaza
  matatizo ya ukoo wao ukinunua unaondoka nayo we unajua comp pekee
  vunja vunja sawa na yer 1:10,upande baraka kutokuwezwa,yer 1:12 anasikiliza neno na kulitimiza ;vunja visasi,wasimamizi wote waliotenegeneza
  hiyo computer
  zima alafu washa;ukinunua vitu jifunze kujivua laana,utashangaa hakuan virus wala vairasi
   
 10. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shy acha madogo ingawa nimefanikiwa na ninajua upo juu kwa IT sasa nashukuru sana ila be care mzee unaweza ukauwa watu kwa presha. msaidie mtu mzee soma zaburi 23
   
 11. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kai uze...
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu mimi sina madongo napenda kuweka vitu wazi sasa usipoambiwa ndugu kuhusu pirating siku unaweza kuingia kwa watu ukafungwa bora uambiwa sasa ujue , ila sina nia mbaya na wewe ni kurekebishana tu
   
 13. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mambie aka i uze...si na yeye ali uziwa...au alitenge neza...ni brand gani hiyo...

  Original Pastor - ?
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nashukuru nimeshaiuza kwa jamaa baada ya kufanikiwa tu. nimeuza dola USD 700. asante Wana JF, Mheshimiwa Shy usijali nashukuru unanisaidia sana.Mungu akubariki. Na ubarikiwe uje kanisani kwetu hapa Ubungo Maji Uje upate Upako
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Inshallah kama ni hapo kwa gwajima mdogo wangu ni muumini wa hapo naishi karibu na hapo kidogo tu , Hongera na wewe ubarikiwe
   
 16. A

  AusonMwesige New Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  pole sana mdugu yangu,unatumia OS ipi?nikimaanisha Operating system gani watumia?kama ni Windows Vista,unatakia kui-update kwanza,hiyo node32 kama sio ya kununua itakuwa imeisha mda wake,labda uninstall and then install tena...kufungua drive yoyote andika jina la drive baada ya kufungua my computer,mfano c: then gonga enter kwenye keyboard
   
Loading...