Hatua zipi unachukua ukikutana na computer yenye Virus?

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Wasalaam wana tech,
Kama tunavyojua uelewa wa computer bado sio mkubwa sana kwa watumiaji wengi wa kawaida, mambo ya virus & malware hayatiliwi mkazo sana na watumiaji, mtumiaji anachojali computer yake ifanye kile aanchotaka full stop kama ni files zifunguke kama ni browser ifunguke kama ni movies aangalie bila shida, ila wengi husahau matunzo dhidi ya virus zinazopatikana kwa njia ya internet kupitia dowloads za software tofauti, au kuchomeka infected flash drives kwenye computer yako isiyo na kinga madhubuti.

Kwa upande wangu nimeshakutana computer nyingi sana, sana za watu wa karibu ndugu, friends na wengine kadhaa, nyingi nilizokutana nazo wenye nazo wanataka fresh installation ya windows kwasababu ya virusi kutapakaa kwenye PC zao na hivyo kushindwa kutumia pc zao vizuri.

Shida inakuja hamna kitu kinanipa uvivu kama kufanya fresh installion za windows, kwa hivo mara nyingi napenda kupambana niondoe hao wadudu ili nikwepe kufanya fresh installation, ingawa kuna baadhi cases fresh installation ni lazima endapo core files za windows OS zimeharibiwa pakubwa.

Hizi ni hatua nichukuazo;

Kwenye computer yangu nita dowload vifuatavyo

1. Latest malwarebytes
2. CCleaner
3. Offline windows defender update file

Tajwa hapo juu ndio zana nazitumia mara kwa mara na matokeo huwa mazuri mara nyingi kama sio mara zote.

Hizo files nitaziweka kwenye archives huwa natumia 7zip kwa hiyo nitacompress zitakuwa na extension ya .7zip, lengo ni kuepuka hizi software kuharibiwa pindi ninapozipeleka kwenye computer yenye wadudu ukizingatia media ya kusafirisha ni flash drives kama mjuavyo mara nyingi files nyingi huaribiwa hasa zenye extension ya .exe hasa setup files, ila zikiwa archived zinakuwa safe hata zinapotua kwenye infected PC hamna changes zozote za kuharibu hilo archive.

Hizo files naweka mara mbili 7zip na zip kwa maana kama hiyo computer ninayokwenda kuisafisha ikiwa haina file extractors kama winrar/winzip/7zip basi zip ipo default kwenye windows os naweza extract zip files bila kuhitaji software yoyote.

Kabla sijacopy file zangu kwenye pc yenye madhara, naenda programs & features nafuta softwares ambazo naona hazina umuhimu au ambazo unajua kabisa hizi ali download au ku-install ya bila ya yeye kujua, baada kufuta, naenda kwenye startup apps hapa nta disable apps mbalimbali zisifunguke automatically wakati computer inapowaka, huwa kuna service na apps zinajistart auto maranyingi virus hujipandikiza huku ili kila windows inapowaka vinashikilia usukani kwenye system files kwa hiyo nafanya ku disable na kuacha zile chache muhimu kama zinazo load touchpad drivers kwa upande wa laptop au za vga au za audio.

Kingine computer nyingi nakuta SMADAV hii kitu huwa naifuta sijawahi kuielewa wala kuitumia kwa hiyo huwa ipo kwenye listi ya kufutwa mara moja.

kingine mara nyingi virus huwa zinadisable windows defender unaweza kuifungua ikawa inagoma kufunguka inakupa mesage imekuwa disabled na software nyingine, na ukiangalia kule kwenye programs unakuta umefuta software zote zinazohusiana na virus protection na ndio nyingi hua zina disable windows defender.
Kutatua hili ni kwenye services lazima kuna trace ya zile software zinazoizuia windows defender isifanye kazi ukiangalia vizuri utazikuta na majina yao kabisa, mfano kuna hii BAIDU unaweza kuifuta ila kwenye service bado inaendelea ku run na inazuia windows defender kufanya kazi, kwa hiyo hapo unapaswa kuizuia hiyo service isi-run pindi pc inapowaka, ukijaribu kui stop huwa inagoma dawa ni kui- disable kwenye startup type.
Then uta restart pc na kuanza kui install malwarebyte na kuscan system, ikimaliza utafuta hizo threats zote, then utainstall offline update ya windows defender confirm kwa kufungua windows defender utaona ipo up to date, na mwisho install ccleaner kusafisha system hii hua inafuta obsolete files zote na registry keys zote zisizonakazi.

Hapo Pc itakua salama, baada ya kumaliza hua nafuta malwarebyte haihitajiki tena windows defender inatosha sana kama unaifanyia updates regularly.

04-malwarebytes-premium-threat-scan-2.jpg

7837__ccleaner_1_5_8_16.png

image1.png

Wewe unafanyaje?
karibuni
 
Kwa computer zenye virus na system malfunction kama hizo huwa natumia 360 total security inafanya kazi nzuri sana vile vile ina service nyingi
Capture.PNG

Utaweza kuona hapo ina service mbali mbali
Clean up inafanya kazi nzuri sana ya ku remove cache,junk file, etc
pia automatically inaweza ku optimize sys config na ku disable unnecessary startup and background programs
kwa upande wangu 360 total security naikubali sana
 
View attachment 1012369

Aisee PC yangu siku nzima Leo ni nzito balaa( processing)
Kila baada ya dakika 10 inastuck.
Hiyo uliyosema ni free au naipataje?
 
Kwa computer zenye virus na system malfunction kama hizo huwa natumia 360 total security inafanya kazi nzuri sana vile vile ina service nyingi
View attachment 1012369
Utaweza kuona hapo ina service mbali mbali
Clean up inafanya kazi nzuri sana ya ku remove cache,junk file, etc
pia automatically inaweza ku optimize sys config na ku disable unnecessary startup and background programs
kwa upande wangu 360 total security naikubali sana
mkuu hiyo pes 2019 inahitaji specs zipi na mimi nilipqkue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom