Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

2df0540c0ae2a3757dfbd5a189cc8387.jpg
Ishhhh....!!!
 
Habari za kutengeneza kiuno kwa shanga nayo ni imani tu maana ingekuwa ivo isingekuwa unakutana na mdada kiuno na mgongo havionekani bana. Kiuno cha mtu ni vile ameumbwa na mwenyezi Mungu na siyo shanga
Hata mwenyezi Mungu ni imani pia. Kusema kiuno anakitoa mwenyezi mungu ni imani vilevile. Hao unaona wana viuno vimeungana na mgongo wamevaa juzi tu wakiwa wakongwe. Shanga pia ni urembo kwa wadada. Ni ruksa kuwa na imani unayotaka. Hutaki hulazimishwi
 
Mdau Abdallah Swai afunguka, kazi kwako mdau

Amaa alipotosha kuhusu uvaaji wa shanga nikawaelekeza kama nilivyowahi kuelezwa kwamba;

Shanga nyekundu zilivaliwa siku za hatari ambapo Mama anaweza kupata mimba.

Kwenye hedhi walivaa nyeusi.

Baada ya hedhi hawakuvaa shanga ila ishara iliyotumika ni kwenye kutengewa chakula ambapo vijiko vitaegeshwa vimebebana na hapa utajua tu maji kupwa na kujaa ni sawa na kujaa halafu kupwa.

Baada ya siku safe kuisha ndipo utakuta shanga nyekundu kuonesha bahari ni safi ila kuna hatari ya mawimbi kutunga mimba.

Then baada ya hapo utaanza kuona tena ishara ya vijiko ama mashuka, mf ukikuta shuka jekundu huwezi kumuingilia mkewe.

Alafu kuna ishara nyingi mfano kuna siku she's ok tu kimaumbile lakini hajisikii kukutana na mumewe kuna ishara utaiona tu ukiingia ndani na kukuta hakuna maji ya kunawa mezani yapo Chini elewa tu, au ukimkuta kalala halafu sehemu yako kaweka mto unaelewa tu upande ule leo sitakiwi niingie.

Kuna mengi sana nawashauri kaeni na wazee mjue mambo mengi zaidi..

Lakini Zamani ukienda nyumbani mwanaume alafu usipomsalimia mkeo then akaamka akakuona unaingia kitandani hata kama alikuwa na hamu nawe vipi anaelewa leo mume wangu kachoka.

Na ikiwa umeingia ndani ukakuta ishara ya hali si shwari na wakati wewe una hamu sana hapo sasa unaweka wallet mezani unatoa pay ama unampa pesa akanunue chochote akipendacho then yeye ataelewa tu hapa ninaombwa unyumba utamuona anakugeukia na kukwambia baba Abasi tutonge (twende).
Wazee wetu walikuwa wamaridadi sana.

Mfano wa umaridadi wa Wazee wetu utauona pale ambapo atamkuta mkewe hajihisi kumliwaza kwa mahaba usiku huo.
Akiingia tu akakuta Shuka Limeashiria hali ya sintofahamu mara moja atatoka nje na kuwaza kidogo alafu atakwenda kilabuni ama popote pale aje na chochote..

Na ukumbuke zamani Baba anapokuja nyumbani haji hivi hivi kwa minyato kama anawinda No, alipaswa kuja huku akipiga miluzi kuimba nyimbo.
Hizi nyimbo zilikuwa na Maana na kila wimbo uliashiria jambo fulani.
Pia wanasema mluzi ulikuwa unaashiria uanaume wa mume ndio maana watoto wa kiume walipigwa marufuku kuimba kwa miluzi.

Pia ilimbidi Baba aje akiimba kwa miluzi ili mama aandae ishara ya siku...
Yaani kama anataka kumuomba chochote aweke kiashiria ama kuhusu unyumba wake. Lakini wengine wanasema eti miluzi ilisaidia pia kupunguza mafumanizi maana ukisikia tu mluzi unajua jamaa huyo unajikoki ufanyaje, tena wanasema wengine kikwao mwanaume akija atagonga mlango then ataingia chooni (vyoo vilikuwa vya nje) hii ikimaanisha kama kuna mtu asepe zake.

Hawakuwa na kuvunjiana heshima sana, tena Wengine walikuwa na uwezo wa kinguvu za kimabavu na fedha lakini hawakuringa wala kuwadharau wenzao, waliishi vizuri tu, Sio saivi kijana Una Ki-Virtz cha mkopo unaringa mtaa mzima unawaona hawana maana Pua na unataka kumlala kila Demu hata Demu wa mshkaji wako unataka awe wako ndio maana vishipa haviwaishi.

Wazee wetu walikula vyakula vya asili walijifukiza dawa za kiasili kuilinda miili yao wewe unaumwa malaria unapona kwa Metakelfini unataka kutembea hadi na wamama watu wazima kama sio unatafuta nini kama sio kufa.
Tujitahidini tuyafate mazuri yao na kuyaacha mabaya yao...

This is just few of what we were discussing on how our ancestors na jinsi walivyoishi in their relationships....
 
b8b4f90c17ccaf05d4470b571a811e32.jpg
Wengi wanasema ukiona mwanamke kavaa cheni mguuni (Kikuku) ni kiashiria huyo mwanamke analiwa nyuma lakini wengine wanasema ni urembo tu.

Kwa uzoefu wangu mdogo kupitia video za ngono nimeona wachezaji wengi hasa wale wanao act Anal sex wamekua wakivaa Kikuku hasa mguu mmoja ,Je kuna uhalisia kwamba hata hawa Dada zetu wengi ndo mchezo wao huu wa kusukumwa nnyaa? Wenyewe wanadai 0713 ndo habari ya mjini.

Wadau fungukeni hapa jinsi unavyoelewa hii kitu.
 
Titty, joanah na miss natafuta....njoon mtusaidie aseee......hapa.......sisi vichwa vinauma hatuelewi kaa ni urimbwende au................
 
Back
Top Bottom