Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Story za vijiweni hizo mkubwa. Huku kwetu toka zamani shanga ni kwa ajili ya kutengeneza (kushape) kiubo cha mtoto wa kike. Ndio maana watoto wadogo wa kike huvalishwa shanga wawe na viuno na ndio maana navyo hasa. Kama huamini njoo mwandiga.
Hizo tafsiri nyingine ni jacksonjackob bsi mtu anavyopenda kusema. Wasukuma wanaume wanavaa shanga. Utasemaje hapo
 
Siamini katika mwanamke kuvaa shanga eti adi zionekane akiwa anatembea njiani....umeanza story yako vibaya
 
Story za vijiweni hizo mkubwa. Huku kwetu toka zamani shanga ni kwa ajili ya kutengeneza (kushape) kiubo cha mtoto wa kike. Ndio maana watoto wadogo wa kike huvalishwa shanga wawe na viuno na ndio maana navyo hasa. Kama huamini njoo mwandiga.
Hizo tafsiri nyingine ni jacksonjackob bsi mtu anavyopenda kusema. Wasukuma wanaume wanavaa shanga. Utasemaje hapo
Habari za kutengeneza kiuno kwa shanga nayo ni imani tu maana ingekuwa ivo isingekuwa unakutana na mdada kiuno na mgongo havionekani bana. Kiuno cha mtu ni vile ameumbwa na mwenyezi Mungu na siyo shanga
 
hatari sana enzi hizo za ujana nlishakutana na mdada ana shanga mzigo hadi kipochi manyoa hakionekani hatari sana wazee tulifaidi sana enzi hizo
 
Kuna wale wanaopoteza netwak wakati wa kwichikwichi,shanga zinasaidia sana Kuku massage,na kuamsha genye
 
2df0540c0ae2a3757dfbd5a189cc8387.jpg
 
Habari za Mwisho wa wiki wana jamaa...

Napenda kuwasalimu nyote, na kila mmoja katika imani yake...
Baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza.

Imekua kama fasheni kukuta wadada wametupia zigo la shanga kwenya mauno yao, sasa huwa najiuliza je wanafahamu kua wazee wetu walizitumia kuwasiliana na wenza wao??

Nilikua najua niurembo tu ila siku moja mzee mmoja katika maongezi walipita wadada hatareeee... shanga kiunoni kama mzinga wa nyuki, story zikaanzia hapo.

Mzee: Ulishawahi kukutana na mwanamke mwenye shanga na unajua nini maana yake?

Mimi: Hapana mzaa, (huku nikiwa na shahuku ya kujua) kwani zinamaana gani?

Mzee: Zamani izo zilikua zinavaliwa kwa sababu maalum na kwa njia ya kuwasiliana, wamama walivaa shanga za aino tofauti kutoa ujumbe tofauti kwa waume zao.

Mimi: Inakuaje hapo? Walikua wanatumiaje?

Mzee: Kwa mfano; Mwanamke akiwa hedhi, alivaa shanga NYEKUNDU na hapo mumewe alikua anajua kua leo hakuna mchezo.

Mimi: Mmhm...

Mzee: NJANO zilikua zinaashiria huko kwenye kumaliza safe zone na kukaribia hedhi
KIJANI zilimaanisha yuko tayari kupata mtoto... (Fertilization)
NYEUPE alikua anamaanisha kua anahamu ya kufanya tendo kwa kuenjoy za kwa mda zaid.
NYEUSI ilikua inamwambia mwanaume asijaribu kuomba game japo yupo safe zone

Hizi zilitumika kutokana na HESHIMA waliyokua nayo wazee wetu ilikutotumia maneno tofauti na kizazi cha sasa ambapo watoto wa miaka 12 kuongelea swala la ngono ni jambo la kawaida kabisa..

"Sasa nini nikawanajiuliza, hizi dada zetu wa leo, Je mnafahamu haya? Au Mzee aliniambia tuu sababu sikua na ufahamu wa hili jambo"

Wajuzi wa mabo naombeni maono yenu katika hili na pia mtujuze zaidi...

Ahsanteni.
 
Umuulize na wanaovaa shanga zinarangi mbalimbali kwa pamoja unakuta red,blue,green, maloon, kahawia,grey sijui wanmanisha Nini??? Daah
Wanamaanisha hawajielewi ukipiga mzigo mimba ikatokea yoyote anatupiwa mzigo
 
Kila sehemu na namna yao sisi kikwetu mwanamke hutuliza kichwa na kuiandaa kalenda yake na kisha kuibandika kwenye mlango wa chumba chake na mmewe,inabandikwa kwa ndani wanakuwa wanaiona wao tu wawili hivyo mwanaume unakuwa unaona tu pale kwenye kalenda.Na kazi za shanga kikwetu ni habari tofauti kabisa na ulizoziorodhesha hapo.
 
Wewe hutumii shanga? Hujawahi kukutana nazo? Vipi wenye cheni moja ya gold kiunoni au ya silva hujawahizifanyia kazi? Na kikuku je?

Heheheheheee jibu maswali yote.

Kasie.
Hiyo ya cheni moja ya gold au silver wanavaaga watoto wa kishua....***** inaletaje ashki, na ukute ana kiuno kizuri, wallah
 
Back
Top Bottom