Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mawazo yako tu! huu ni urembo, mie mwenye wife anapiga cha gold hua anapendeza kinoma noma yaani na kashanga kake kiunoni ka gold nako ... mubashara kwenda mbele
Haumupi haki yake ya tigo kaamua kutafta minjemba.
Pole Mkuu
 
Inafuatana na eneo aliko mvaaji,Arusha ni utamaduni wao kabisa na mpaka watoto hasa wa kimasai wanavaa ingawa kwa huku pwani ni nadra kuona mmakonde au mzaramo kavaa akimaanisha utamaduni,
 
ivo vicheni vya mguu kiukweli vinamaana zake na sio mambo ya urembo kabisaaa,
lakin kutokana na wabongo ni kucopy na kupaste bila hata kujiuliza unakuta binti kajitupia habari hapati! kumbe daaah!
yaliyomo yamooo!!
 
Back
Top Bottom