Urembo wa kichwani raha yake kurembeka !!!

Urembo wa kichwani raha yake kurembeka !!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]UREMBO WA KICHWANI RAHA YAKE KUREMBEKA !!!PENDA CHAKO MWAFRIKA!!![/h]







Mavazi ya afrika yana mvuto mzuri sana ila kinachotakiwa kabla mtu mwingine kuthamini inabidi mwafrika mwenyewe athamini kitu chake ndipo wengine watakithamini kama vile WAINDI NA VITU VYAO KUANZIA MOVIE ,CHAKULA MPAKA MAVAZI YAO!!!!!
​
 
Huyu ni mwanamke au mwanaume? maana uso naona upo kiume zaidi

 
Mara nyingi mie huwa sipendi rangi za midomo!

ziliwahi kukuchafulia shati ukaenda kuulizwa nyumbani? na unavyopenda mashati meupe kama kwenye avata yako tehethetehet
 
Song of lawino inahusika hapa!
Cc MziziMkavu naomba kujua maoni yako juu ya ulimbwende huu!
 
Last edited by a moderator:
yaan mi nkikutana na mtu kama huyo naweza kukimbia coz anatisha!!hapo sijui yupo kwenye party???
kwa jinsi wanawake mlivyo utakuta hapo kuna watu wamenuna wanamuonea gere,wakati kumbe ni kama kinyago kilichochongwa vibaya.we fikiria kinyago halafu pia ukikosee.
 
Back
Top Bottom