Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,014
Zinafaa kumenyea ndizi? Sikuizi usipoiga swaga unaonekana mshamba na usiyependa maendeleo, mngeiga ya maana afadhali,
mkuu, assume huyo ndo umezimika sana kwake! halafu hataki badilika hata nukta!
too much is harmful you women..!!
![]()
heheheeeee!hua zinakatwa bwna
haiwezekani kutembea na kucha ka jini
wabandikaji tupo wengi zikikatwa wala hutojua ni bandia!!
siku nikikukamata umeweka huu uchafu even by mistake..!!
btw, usije ukafanya hivyo sweetheart..!!
![]()
for you Passion Lady!!
Nikajua ndo unayemnyonyamkuu.. ataweza kweli kwenda shamba kwa jinsi hii??
shemejio yuko machungani sasa hivi.. hahhaaa!!
kumbe ulikuwa unatuchungulia tu tunavyokisiana eenh!!
haya bana, goodmorning!!
moorrning ila nimekununia