wanawake wanaongoza kwa urembo. tazama huyu View attachment 130268
na huyu naeView attachment 130269
ipo siku mtajibandikia mpanga mapanga nyie!!
urembo woote huo, mnataka tu mtuvutie sisi?
huu uchafu ..
Huo si urembo bali takataka........urembo kuhifadhi nnyaaaaa
hahahaaa!!! you do it for men!!
btw, umeona zawadi yangu ya mwaka mpya?