miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,970
Excel njoo nisaidie
jamani jamani miss chagga,unajipenda kweli
nitakuziba kikojoleo ujue ,niachie mchuchu wangu bana!!
Excel njoo nisaidie
jamani jamani miss chagga,unajipenda kweli
nitakuziba kikojoleo ujue ,niachie mchuchu wangu bana!!
ole wake asogee kama sijamvunja kiuno!!
loh mmh yamenishinda kwa kweli simtaki tena mie nisije kosa raha me bado nipo sweet hata sijali mchukue nina wengine nimewaweka ...
bora shost uepuke msongamano
jitahidi huku shurti uwe na mafiga 3!!
hutotaabika kamwe!!
aya rafiki lakini uraki wangu me na mwewe haushi ila tu nipe shart la kutokuja nyumbani sawa
nyumbani we njoo
shemejio namuwekea tego
wala sina wasi2!!
mitego yangu awezi chomoka lazima amalize
wasi wasi wangu kikojoleo changu usijekiziba
aaaah we njoo tu
mkinasana mtaniita niwanasue!!
wasi wasi wangu kikojoleo changu usijekiziba
Hatari
nimekomaa me mchagga wa watu yewomii
yani ukijaribu tu na huby wangu
lazima kizibike wallah!!
duuu! kama jinitoo much is harmful you women..!!