Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Walomtaja MEMBE ..ndio hao hao vijana wa JIWE.

Membe hawezi ruhusu vijana wake wawe ivi HATA SIKU MOJA UKU AKIJUA ALOKO MAGOMENI NI JIWE.

hawa nivijana wa Mitandaoni wa Jiwe, na usikute niwale waloitwa na Mtume Paul nahii ndo kazi walopewa ,ili mradi kumfanya Membe ajitafakari.

Mbona nirahisi kuelewa mchezo ulivo.
 
Ccm wanajua wanachofanya. Wanajua katiba yao haitaruhusu lakini wanatengeneza mgawanyiko usio na maana halafu baadaye atokee mtu awaunganishe aonekane kafanya kazi njema na anastahili kuendeleza jitihada za kugombea urais. Hii planed action inayojulikana kabisaa kuwa membe hana chansi yyte ya kikatiba. Ni mkama mchezo wa mahoka na jangala
 
Membe atosha!

Sababu kuu za kwenda na Membe

1. Amejiandaa kuwa rais
2. Ni jasusi aliyebobea anaijua nchi nje ndani
3. Ni mwanadiplomasia mkomavu anajua kucheza na siasa za kimataifa, atasaidia sana kushawishi wawekezaji
4. Ni mstaarabu, mpole na mwenye kupiga hesabu kwa kila hatua
5. Ana akili nyingi sana, ana First class chuo kikuu, hivyo ana IQ kubwa sana
6. Hatoumiza wapinzani, kuwanunua kwa sababu anaamini katika siasa za hoja na maswala.

Cammilius 2020 Atosha
Yes He Can!
7. Ana ujasiri usiomithilika
 
Kuna mwanaccm kapigwa ngumi jiwe na ccm mwenzie kapata kizunguzungu baada ya faham kurudi anadai imetoka Chadema tunaomba mpigane vyema mkiuana basi wafu wawazike wafu wenzao
 
Hilo jiwe lina hati miliki ya hii nchi? Watu wanaweza kumzungumzia yoyote anayeweza hiyo nafasi baada ya kuona aliyeko hafikii lengo tarajiwa.
Binaadamu hamna shukurani JPM kajitahidi kujenga hii nchi kwa kuleta SGR, flyover, Dreamliner stingler, nidhamu kazini nk....ila mnaona hafai mnamletea mpizani mapema hata kabla ya mhula wa kwanza kuisha, CCM hamna shukurani kabisa mnataka viongozi mafisadi tu.
 
Hivi sauti zinazomtaja Membe zinatoka ndani ya ccm ama nje ya CCM, maana mpaka sasa sielewi kuhusu hizi kelele lengo lao ni lipi.... Zaidi nasikia Membe! Membe!Membe! Membe.

Kwa anayejua kuhusu hizi kelele zinakoanzia na zinakoelekea anifafanulie tafadhali.
 
sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
'Opinions are like assholes,everyone has one'.
Kuna mambo mengine ni aibu kujinasibisha nayo,kama kweli wewe ni ccm utakuwa ni ccm ile ya kuliibia taifa bila kujali next generation. CCM ya aina hiyo ya akina Jk,Nape,Rostam,Chenge,Lowasa etc imeshapita and never should you expect kupata tena ccm ya kipuuzi kama hiyo. Huyu jamaa anatuendesha kidicteta lakini kwa hali tuliyokuwa tumeifikia kama chama na kama taifa haya yanayotokea hayana budi kutokea. Tumefika hapa kwa sababu ya ccm ya kuchekacheka tu,ccm ya kilikuwa ni Chama Cha Majambazi! Watu hawalipi kodi,wanapitisha sheria za kifisadi,Mafuta, gesi na madini yanaliwa na watu wa nje kwa kusaidiwa na mijizi inayovaa kijani!

Membe hana tofauti na JK,Sera ya maisha bora kwa kila mtanzania ilitufikisha wapi??
Huyu Magu akiwaruhusu wapinzani wafanye siasa zao hapo atakuwa amemaliza malalamiko meeengi,otherwise kama siyo mchumia tumbo huyu mjomba ndo haswa anayehitajika.
 
Hivi sauti zinazomtaja Membe zinatoka ndani ya ccm ama nje ya CCM, maana mpaka sasa sielewi kuhusu hizi kelele lengo lao ni lipi.... Zaidi nasikia Membe! Membe!Membe! Membe.

Kwa anayejua kuhusu hizi kelele zinakoanzia na zinakoelekea anifafanulie tafadhali.
Ndani ya CCM, nje waliamini adui yao mkubwa ni Tundu Lissu na walibuni njia za “ku dili “ nae nje ya bunge.
 
Bahati nzuri Chama Cha Mapinduzi kina historia nzuri ya kuwazuia na kuwadhibiti makada wake, wengine wamebaki kuwa na ndoto isiyotimilika. Tusubiri 2020
 
Anawasikia na anaona mipango yenu inavyo endelea ... Mmesahau kuwa yeye NI malaika kiongozi ... ?

Hana silolijua ... Mnamtaftia balaa tu mwenzenu Membe Kama namuona kwa 2019 woote atakavyo jambishwa na kutiwa kashkash ili kumdhoofidsha na nia yake Ovu ya kutaka kumpiku Malaika Jiwe ...
Hakuna mipango yoyote inayoendelea! We ushaona wapi mipango ya kubadili katiba ya chama tawala ili raisi aliyepo madarakani abadilishwe inafanyikia Jamii forum? Ni kwamba hakuna matukio hot ya kudiscuss sasa inatafutwa mada tu ilimradi Jamii forum ichangamke. Jamii ya ma GT taratibu tunaanza kuwa ma GL
 
hakuna binadamu anayependa kufanyiwa ubabe,kuishi kwa hofu sababu tu kaikosoa serikali yake ambayo ipo kwa kodi yake
ubabe,vitisho,kiburi na upendeleo ndio sababu zinazowafanya ccm kumtaka membe ampe challenge ili ajitafakari na kujisahihisha
 
Back
Top Bottom