Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mabuludoza sio standard ya Membe.
Mabuludoza hajui Kiingereza
Mabuludoza hana utu
Mabuludoza hajui lolote kuhusu diplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Mabuludoza hajui kufanya risk assessment.
Mabuludoza ana kisasi
Mabuludoza is wicked.
Hahahaha
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
Uliona wapi binadamu hufanana tabia? Inatokeaga watu mmezaliwa tumbo moja na baba yenu ni mmoja na mmekulia kwenye makazi hayo hayo wote kwa pamoja, lakini bado mkatofautiana tabia, sembuse mtu eliyezaliwa kwingine na kukulia kwingine hicho ni kitu cha kawaida.
 
Nae apumzike tu,
Miaka kwa miaka bado anahitaji nini zaidi,
Nini alisahau kufanya kama kiongozi wa muda mrefu!
Bado Tanzania ina watu wengu wazuri tu, kwa nini awashwe kila mara kuzungumzia hatma ya nchi.
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
Hizi nyuzi mnazofungua kumhusu Membe zinatosha maana sioni jipya, turudi kwenye mijadala ya kitaifa.
 
Huyu ndiye alisema ameoteshwa akiwa rais maadui zake watatu watakimbilia Kenya sio?

Kweli anajua kujieleza sana.
 
Kujieleza hakujengi uchumi....wala hakuongezi ugali na mboga mezani kwa wananchi....Isitoshe wamekwisha tawala muda mrefu hakuna cha maana tulichokiona ....labda jaribu kuleta jina la candidate mwingine...
Membe mushabikieni nyie mie wala sioni umuhimu wake katika taifa,mpaka sasa sielewagi gas yetu tunanufaikaje nayo wakati tuliahidiwa umeme itakua historia,akiwemo membe aliewaleta wawekezaji
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
Mnampa sifa asizonazo huyo jamaa yenu. Membe hawezi kuwa kiongozi mkuu wa Nchi hii kwa namna yeyote. Kwanza ni mhuni kama wahuni wenzie na wala hana tofauti
 
Mabuludoza sio standard ya Membe.
Mabuludoza hajui Kiingereza
Mabuludoza hana utu
Mabuludoza hajui lolote kuhusu diplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Mabuludoza hajui kufanya risk assessment.
Mabuludoza ana kisasi
Mabuludoza is wicked.
Membe angekuwa na utu angetufisadi kiasi hicho? Mnadhani tulishasahau hela ya Gadafi? Subirini moto uanze mtamhurumia.
 
Unataka kusema Membe yuko above the law?
Ule ufisadi uliratibiwa na Chama Cha Mafisadi.
Ufisadi ni mfumo rasmi wa kuongoza chama.
Kila mwana CCM ni fisadi kwa maslahi ya chama Ndiyo Maana unawaona wako mtaani wanakula tu bata.
Membe angekuwa na utu angetufisadi kiasi hicho? Mnadhani tulishasahau hela ya Gadafi? Subirini moto uanze mtamhurumia.
 
Unataka apitie chama gani?

Fanya kuionea huruma nchi yako basi.
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
 
Mabuludoza anadharau katiba ilomfikisha habo
Mabuludoza ni Mbaguzi
Mabuludoza anawachukulia wapinzani km mahaini
Mabuludoza ana zuia uhuru wa habari
Mabuludoza anaiburura mihimili mingine
Mabuludoza ni jeshi la Mtu mmoja
Mabuludoza sio standard ya Membe.
Mabuludoza hajui Kiingereza
Mabuludoza hana utu
Mabuludoza hajui lolote kuhusu diplomasia na uhusiano wa kimataifa.
Mabuludoza hajui kufanya risk assessment.
Mabuludoza ana kisasi
Mabuludoza is wicked.
 
Huyu aliwahi kusema akipata Urais kuna watu lazima wakimbie nchi

Usimwamini mwanasiasa
Kipindi cha kampeni za ndani alikuwa anaongea kwa mihemko sana.

Hiyo kauli ya kusema watu watakimbilia Kenya ndio ilifanya nione hatoshi kuongoza nchi.
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
Ila usisahau pambio hii pia kuwa, CCM NI ILE ILE.
 
Back
Top Bottom