Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

Hivi ccm itamsimamisha nani kugombea urais mwenye kaunafuu kidogo? Manake kila mtu hatizamiki
 
Ukawa kunawahuni tu lakini hakuna viongozi.

They're better than those of CCM ....... wale Dr. Kitine aliodai ni wahuni wote. So far CCM hawawezi kupata mgombea nje ya hao wahuni!!
 
Mataahira wengi mko upinzani
wenye akili na uwezo wa kuanalyse mambo na kumake decision wako upinzani! wazembe wakufikiri, wasakatonge wako CCM,huitaji kua na elimu kubwa saana kujua nchi inahitaji mabadiliko,na kwa sera za kubebana,hatutayabada ccm! try to meditate bro
 
Chadema ni chama makin na kila kitu kinafanywa kwa umakin, Ccm mnamakund kama 10 hv kila mtu anataka kuwa rais hata magaid sasa wanataka kuwa marais, ccm kwisha habar yenu mnashindwa kutatua masuala ya wafugaj na wakulima mnabak kupiga wanaondama kudai haki zao, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.

Wewe kuwaza vitu visivyo wezekana.....tunawaza ukawa wewe unatuletea mambo ya chadema....jinga kabsa...
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

"psychologically" naona kivuli cha Slaa kinampa KIHORO huyu jamaa hivyo anaponda UKAWA kijanja
 
Rais-joseph sinde warioba.
Makamu wa kwanza-maalim seif sharif hamad.
Rais wa zanzibar-salim ahmed salim.
Waziri mkuu-wilbrod peter slaa.
Waziri wa mambo ya ndani-freeman mbowe.
Waziri wa elimu-james mbatia.
Waziri wa uchumi na fedha-ibrahim haruna lipumba.
Waziri wa katiba na sheria-hamfrey polepole.
 
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU; LIPUMBA ATAIFAA UKAWA KULIKO SLAA.

Wakuu,
leo naanza siku kwa tafakari muhimu hasa juu ya utata naojitokeza hasa juu ya mgombea gani upinzani anapaswa kupeperusha bendera ya UKAWA. Binafsi siamini kabisa kuwa ukawa wataingia uchaguzi mkuu wakiwa pamoja. uchambuzi huu ni kwa manufaa ya wale wanaoamini hilo. chadema na cuf tayari wamekinzana vya kutosha juu ya swala hili japo mengi hayajulikani hadharani lakini inaonekana kuna ubishani mkali sana juu ya nani hasa kati ya hawa gwiji wa siasa za tanzania.
tatizo la kwanza litakuwa nani kati yao ama chao kina wafuasi wengi. ni vigumu sana kutumia kigezo hiki maana leo siyo juzi katika siasa. isitoshe kila chama chaweza kufoji wachama ili kipitishe mgombea wake. kwa hiyo kuna mtihani mgumu kwelikweli kwa ukawa. tujuavyo wanachadema hawaiamini kabisa cuf na hii imetokana na wafuasi wa chadema kulishwa kasumba hiyo na viongozi wao. lakini wana chadema wanaweza kumpigia lipumba cuf ikiwa atakuwa mgombea wa ukawa, wakati wana cuf hawawezi kumpigia kura slaa ikiwa atapitishwa na ukawa. kwa wana cuf wengi ni afadhali kuchagua ccm kuliko mtu kutoka chadema na hasa mtu wanayemuona kuwa ni padiri. pia wana cuf hawafuati kila wanachoambiwa na viongozi wao kama ilivyo kwwana chadema. na kwao porofesa lipumba ameshakuwa kama dogma ambayo huwezi kuitoa vichwani mwao.
sasa kwa mazingira yalivyo nje ya upinzani, ccm inaonekana watasimamisha mgombea urais ambaye ni mkristo. vyovyote vile udini utatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu japo kwa unafiki wetu tunajifanya jambo hilo halipo. uchaguzi mitaa uliopita tayari wakristo walikuwa na kauli mbiu ya chini kwa chini ya chagua mkristo popote pale hata kama hana vigezo vya uongozi. na wamefanya hivyo. ndiyo kusema wakristo wa chadema wanaweza baadhi yao wengi kutosha wakapiga kura ccm kwa kuvutwa na dini ya mgombea lakini pia mawazo kuwa mgombea wa upinzani hatashinda.
wakati huo waislamu wa ccm wengi hawatampigia mgombea wa ccm ambaye ni mkristo. malalamiko juu ya mfumo kirisito hayajaisha, na uchaguzi huu ni sehemu ya kutafuta jibu hasa. ikumbukwe waislamu wa aina ya Rais Kikwete inasemwa na waislamu kuwa ni wakatoliki waliojiita waislamu. kwa hiyo lipumba ambaye amewahi kutamka msikitini kuwa waislamu wachague waislamu ili kupigania maslahi yao ( sijui kama amewahi kukanusha ama kuomba radhi), lama wabebwe na siasa za udini za mwaka huu.
ninachojaribu kusema hapa ni kuwa , waislamu wa ccm wengi watampigia kura lipumba, na cuf wote, then wanachama wengi wa ukawa kwa sababu ya vyama vyao watampigia kura pia. tofauti na mgombea akiwa slaa, wakristo baadhi watapiga kwa kufuata dhehebu. mfano ikiwa mgombea wa ccm atakuwa lowassa, walutheri hata wa upinzani watampatia kura hivyo kura za wapinzani za wakristu kugawanyika na hapohapo waislamu wa cuf na wana cuf wote hawatampigia kura slaa. ikiwa mgombea wa ccm atakuwa membe, kura za wakatoliki zitagawanyika baina ya slaa na membe.
hitimisho langu ni kuwa UKAWA kama utakuwepo na kusimamisha mgombea, basi wamsimamishe lipumba. japo hatashinda urais, lakini atapata kura nyingi zaidi kuliko kama angekuwa dokta slaa.
my submission.
 
Tatizo la udini linaendekezwa na watu mamuma. Lipumba naye kama ana kauli za udini basi hatufai, tunamtaka rais ambaye hana hilo la udini.
Mara nyingi sana waislamu wamekuwa wakijiona wameachwa nyuma, lakini tunasahau kuwa kila dini ina ustaarabu wa kule ilikotokea.
Wakati tunafundishwa madrasa,wamisheni walijenga mashule ambayo bahati nzuri Nyerere aliwanyanganya nasi tukapata mwanya wa kwenda shule.
Kukosa elimu kwetu kumekuwa fimbo yetu, hatujiamini kabisa.
Hivyo basi tujiamini na tusichague watu kwa misingi ya dini zetu hilo halitupeleki popote.
 
Lipumba pekee ndio anafaa Ukawa, Anakubalika mpaka Zanzibar
 
Kama slaa aligombea kwa mara ya kwanza akabamizwa vibaya na kikwete ambaye tayari alishaanza kuchokwa sembuse 2015 ambapo ccm itakuwa na kifaa kipya??
 
Back
Top Bottom