Biblia inasema,ushindine ubaya kwa wema,nakupongeza.Isipokuwa hapo kwenye rangi nyekundu tu (hiri=hili).Asante kwa matusi yako ila kumbuka kuwa hiri ni jukwaa huru sio lazima tufanane mawazo
Slaa atagombea nafasi ya Rais wa kanisa kanisa katoliki na. Lipumba jamhuri ya muungano ya Tanzania
waweke watu wenye uwezo katika nafasi ya udiwani
Wakati serikali za mitaa wameweka mainjinia na wanasheria, kwa ukawa ili ondoa shaka!!
yeah mgombea udiwani awe na sifa kama ya mgombea ubunge maana madiwani ni chachu ya uchaguzi wanaleta amsha-amsha ni kumrahisishia mgombea ubunge,waweke hata ma phd ma prof kwenye udiwani
Hatimaye safari ya ukawa imefikia tamati hadi sasa cdm wana mgombea wao wa urais na cuf wana mgombea wao wa kudumu miaka yootee akiwakilisha kundi la imani yake nccr wao ni bendera fuata upepo hakuna muafalka utakaofikiwa na kila mmoja atachukua hamsini zake katiba zao zinawabana
CUF wameshamtangaza Prof. Lipumba, CHADEMA wana mgombea wao wa kudumu, Mzee Slaa...
Umefanya utafiti juu ya habari ya viongoz wazinzi hapa tz?au umelopoka tu.
Maneno yako na yashindwe,kila baya ulinenalo libatilishwe..
Pepo mbaya aliyekupa upofu akutoke kuanzia sasa uwe huru..
In Jesus name I pray..!
Wote na tuseme.. Amein..huo yesu wako peleka kwenye jukwaa la dini hapa si mahala pake.
Huyo slaa atakuongoza wewe na familia yako kamwe hatukubali kuongozwa na padri mzinzi.