Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

CCM grow up please, You are behaving like two year old kids.Wiki kadhaa zolizopita kuna mtu alileta mada kwamba CCM Kwenye kikao chao cha Zanzibar walifikia makubaliano kwamba watamtumia kiongozi mmoja wa UKAWA ili kuleta mpasuko,Kwamba eti watatumia muda mwingi kumpamba (massaging his ego) kwamba anafaa kugombea urais.I thought it was a lie, Now that posts about Prof Lipumba are flooding JF,I see the truth about that story and it won't work!
 
Tatizo la udini linaendekezwa na watu mamuma. Lipumba naye kama ana kauli za udini basi hatufai, tunamtaka rais ambaye hana hilo la udini.
Mara nyingi sana waislamu wamekuwa wakijiona wameachwa nyuma, lakini tunasahau kuwa kila dini ina ustaarabu wa kule ilikotokea.
Wakati tunafundishwa madrasa,wamisheni walijenga mashule ambayo bahati nzuri Nyerere aliwanyanganya nasi tukapata mwanya wa kwenda shule.
Kukosa elimu kwetu kumekuwa fimbo yetu, hatujiamini kabisa.
Hivyo basi tujiamini na tusichague watu kwa misingi ya dini zetu hilo halitupeleki popote.

Na hao Maamuma ndio wapiga kura,na hakuna muda wa kutosha kuweza kuliondoa hilo, inapidi UKAWA wajipange kushinda uchaguzi kwakuzingatia ukweli huo japo sio hambo zuri,ila lengo ni ushindi haijulishi mbinu gani zitatumika.
 
Siasa ya Watanzania ni ujuha sana, mada zingine utadhani mwandishi ni tabula rasa kabisa. Hoja za dini ni mufilisi kabisa; weka uchambuzi based on uwezo kiuongozi, ujuzi, mafanikio, uthabiti, dhamira, malengo, dira na maadili ya mtu ktk nia yake ya kuwatumia wananchi wake na sio vinginevyo.

Kwanini Dini iwe turufu ya kufanya uamuzi? Kwani tukichagua Muislam ataenda kujenga misikiti, au kusimamia miradi ya BAKWATA, au ataongoza ibada za Iddi, n k?

Au, tukichagua Mkristo ataenda kujenga makanisa, au au atasimamia miradi ya TEC, CCT au ataongoza ibada za Jumapili, Krismas, n.k?

So far, KIKWETE, BILAL, All are Muslims, kuna faida gani hapo kwa Waislam au ili mradi tu ni Mwenzetu? Ukiwaza hivyo, you're just a walking skull bila akili....damn.

Honestly, Watz ni WAJINGA MNO, VICHWA VIMEJAA MINYOO YA UFUKARA WA AKILI.

HOJA GANI HIZI?
 
Tatizo la udini linaendekezwa na watu mamuma. Lipumba naye kama ana kauli za udini basi hatufai, tunamtaka rais ambaye hana hilo la udini.
Mara nyingi sana waislamu wamekuwa wakijiona wameachwa nyuma, lakini tunasahau kuwa kila dini ina ustaarabu wa kule ilikotokea.
Wakati tunafundishwa madrasa,wamisheni walijenga mashule ambayo bahati nzuri Nyerere aliwanyanganya nasi tukapata mwanya wa kwenda shule.
Kukosa elimu kwetu kumekuwa fimbo yetu, hatujiamini kabisa.
Hivyo basi tujiamini na tusichague watu kwa misingi ya dini zetu hilo halitupeleki popote.


UBARIKWE SANA KWA MANENO YAKO. huyu mleta mada anatuletea mambo yaajabu sana muda huu si wakupuga porojo za mgombea wa chama flani atakuwa wa dini flani, watanzania wanahitaji RAIS hatuna shida na dini yake, mambo ya sijui CCM watasimamisha mgombea mkristo mwaka huu ni utoto mwingine wa mtoa mada
 
We kijana ni sumu katikati ya watu waliyostarabika, huwezi kutuambia eti tumchague Lipumba kwa kuwa yeye ni Mwislam au Dr Slaa kwa sababu eti ni Mkristo wewe hufai wala kuwa Mtanzania, unawaza dini za watu katika hatima ya TAIFA letu look at you. Kila mtu anaijua dini yake vizuri yeye na dini yake uko uko kwenye masuala yanayoliusu TAIFA tunamtaka mtanzania na si mtu wa dini fulani una akiri kweli zinakutosha, watu wanawaza maendeleo na ustawi wa jamii yetu we unawaza dini za watu. Huna adabu tena koma peleka kwa familia yako hayo mambo sisi ni wamoja daima.
 
Kumbe siku hizi tuna chaguwa viongoz kwa kufwata kigezo cha Dini!!!! poor Tanzania.
 
We mleta mada ni kati ya watu wapumbavu kabisa unaleta udini kwenye masuala ya TAIFA letu ni mwenda wazimu wewe hufai kuwa Raia wa TAIFA hili nenda popote penye panataka viongozi wao wachuguliwe kwa dini zao. Ningelikuwa karibu na wewe ningalikupitisha makofi mawili ukawa na adabu, unawaza dini za wenzako baada ya kuleta mawazo jinsi gani tuukimbie umaskini na udunifu wa huduma nchini!! Dini yako wapelekee wendawazimu kama wewe watukusaidia ila siyo Tanzania, nawakemea wote wenye mawazo ya kishenzi kama wewe usirudie tena kuandika mambo yasiyo na tija kwa Ustawi wa nchi yetu peleka chooni kwako uko siyo hapa. "IDIOT"
 
mlete mada umevurugwa huyo kiongozi tutakae mcgangua kwa kigezo chake cha dini unadhani atatifaa kwelu?
 
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU; LIPUMBA ATAIFAA UKAWA KULIKO SLAA.

Wakuu,
leo naanza siku kwa tafakari muhimu hasa juu ya utata naojitokeza hasa juu ya mgombea gani upinzani anapaswa kupeperusha bendera ya UKAWA. Binafsi siamini kabisa kuwa ukawa wataingia uchaguzi mkuu wakiwa pamoja. uchambuzi huu ni kwa manufaa ya wale wanaoamini hilo. chadema na cuf tayari wamekinzana vya kutosha juu ya swala hili japo mengi hayajulikani hadharani lakini inaonekana kuna ubishani mkali sana juu ya nani hasa kati ya hawa gwiji wa siasa za tanzania.
tatizo la kwanza litakuwa nani kati yao ama chao kina wafuasi wengi. ni vigumu sana kutumia kigezo hiki maana leo siyo juzi katika siasa. isitoshe kila chama chaweza kufoji wachama ili kipitishe mgombea wake. kwa hiyo kuna mtihani mgumu kwelikweli kwa ukawa. tujuavyo wanachadema hawaiamini kabisa cuf na hii imetokana na wafuasi wa chadema kulishwa kasumba hiyo na viongozi wao. lakini wana chadema wanaweza kumpigia lipumba cuf ikiwa atakuwa mgombea wa ukawa, wakati wana cuf hawawezi kumpigia kura slaa ikiwa atapitishwa na ukawa. kwa wana cuf wengi ni afadhali kuchagua ccm kuliko mtu kutoka chadema na hasa mtu wanayemuona kuwa ni padiri. pia wana cuf hawafuati kila wanachoambiwa na viongozi wao kama ilivyo kwwana chadema. na kwao porofesa lipumba ameshakuwa kama dogma ambayo huwezi kuitoa vichwani mwao.
sasa kwa mazingira yalivyo nje ya upinzani, ccm inaonekana watasimamisha mgombea urais ambaye ni mkristo. vyovyote vile udini utatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu japo kwa unafiki wetu tunajifanya jambo hilo halipo. uchaguzi mitaa uliopita tayari wakristo walikuwa na kauli mbiu ya chini kwa chini ya chagua mkristo popote pale hata kama hana vigezo vya uongozi. na wamefanya hivyo. ndiyo kusema wakristo wa chadema wanaweza baadhi yao wengi kutosha wakapiga kura ccm kwa kuvutwa na dini ya mgombea lakini pia mawazo kuwa mgombea wa upinzani hatashinda.
wakati huo waislamu wa ccm wengi hawatampigia mgombea wa ccm ambaye ni mkristo. malalamiko juu ya mfumo kirisito hayajaisha, na uchaguzi huu ni sehemu ya kutafuta jibu hasa. ikumbukwe waislamu wa aina ya Rais Kikwete inasemwa na waislamu kuwa ni wakatoliki waliojiita waislamu. kwa hiyo lipumba ambaye amewahi kutamka msikitini kuwa waislamu wachague waislamu ili kupigania maslahi yao ( sijui kama amewahi kukanusha ama kuomba radhi), lama wabebwe na siasa za udini za mwaka huu.
ninachojaribu kusema hapa ni kuwa , waislamu wa ccm wengi watampigia kura lipumba, na cuf wote, then wanachama wengi wa ukawa kwa sababu ya vyama vyao watampigia kura pia. tofauti na mgombea akiwa slaa, wakristo baadhi watapiga kwa kufuata dhehebu. mfano ikiwa mgombea wa ccm atakuwa lowassa, walutheri hata wa upinzani watampatia kura hivyo kura za wapinzani za wakristu kugawanyika na hapohapo waislamu wa cuf na wana cuf wote hawatampigia kura slaa. ikiwa mgombea wa ccm atakuwa membe, kura za wakatoliki zitagawanyika baina ya slaa na membe.
hitimisho langu ni kuwa UKAWA kama utakuwepo na kusimamisha mgombea, basi wamsimamishe lipumba. japo hatashinda urais, lakini atapata kura nyingi zaidi kuliko kama angekuwa dokta slaa.
my submission.


mkuu slaa atashinda urais ccm haina mtu wa kumpambanisha na slaa
lipumba hana jipya toka nipo vidudu anagombea urais hana jipya
 
Kabla sijasoma Naunga mkono hoja.[/QUO
Nilipoiona tu hi message yako nilijilazimisha kurudi juu na kumwangalia mleta uzi ni nani, nimejiridhisha kabisa pasi na shaka kua kama sio mtu 1 mwenye ID tofauti basi mlikua pamoja na mleta uzi na wote mpo kwenye ile team ya Lumumba! Ushauri wangu ni hu, "Shetani hawezi kukushauri binadamu umche Mungu/muumba wako"
 
Wakuu poleni na majukumu,najua wakati huu ndio sahihi sana kwa kujadili mustakabali wa taifa letu hususa ni pale oktoba.wakati CCM wakizidi kuumana kwa makundi yenye wagombea waliokosa sifa,upande wa pili wapo kimya.Nimekuwa nawaza sana hasa nani atapeperusha bendera ya Ukawa 2015,wengi bado wanatumia mafanikio ya Dr Slaa 2010 kama sifa ya kumwezesha kusimama tena 2015,lakini najiuliza maswali kwa aina ya watu waliopo ukawa nani anaweza kuwa plan b?.Profesa Lipumba amejaribu mara 3 lakini Watanzani wamemkataa,Mbowe amejaribu mara moja ila kwa nafasi ya urais hauziki,Mbatia bado sana kwenye urais,Zito Kabwe ana vigezo ila umri mdogo,hivyo naomba mnisaidie wakuu ipi inaweza kuwa plan b yenye nguvu kwenye urais ya Ukawa 2015?
 
Hata Dr Slaa mwenyewe hatoshi kugombea hata ubunge. Sema ndo hivyo tena. Hawana mtu mwingine zaidi ya Padre Mzinifu
 
Tena hapo pa DJ Zero ndo kabisaaaaaa! Usigusie hata kidogo
 
Back
Top Bottom