Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

attachment.php
Pamoja na hii je.
 
Chadema ni chama makin na kila kitu kinafanywa kwa umakin, Ccm mnamakund kama 10 hv kila mtu anataka kuwa rais hata magaid sasa wanataka kuwa marais, ccm kwisha habar yenu mnashindwa kutatua masuala ya wafugaj na wakulima mnabak kupiga wanaondama kudai haki zao, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Chama makini kwa kumwagia watu tindikali?
 
Hii ndio dalili ya kufilisika kisiasa. Pilipili iliyoko shamba la jirani wewe inakuwashaje? Hivi bado unaweza kuamini kuwa UKAWA wanaweza kukosa mgombea mzuri leo hii? Labda TLP, NLD, ....!
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

Si kwamba hawana mgombea bora tu ila hawwna kabisa maana bado hajapigiwa kura ili awe mgombea.
 
Hata huyu hapa hakuna Wa kulingana naye,, wagombea wenu mnawaona wazuri kwa sababu wako kwenye mfumo,
Lakini kubwa zaidi ,,,
Hivi Nani ana uwezio wa kumwambia mwenzake hawezi ,?????
Sote tunajua kura za udini Na ukabila kwa miaka ishirini
Imekuwa sehemu yenu,

Nieleze kiongozi mmoja tu aliyewai kukemea rushwa kati ya hao wagombea wenu !!!!

The Successor of Pres Jakaya Kikwete is from Ukawa ,
Weither you like or no,,time will tell
 
Attachments

  • 1421527808586.jpg
    1421527808586.jpg
    7.8 KB · Views: 108
Kweli akili kama huna huna tu, CCM kwani mgombea wenu ni nani? Hao walioko chini ya uangalizi? au Kikwete anaendelea. Hebu unapo toa uzi kama hu kuja na jina la Mgombea, kama hivi, sisi CCM mgombea wetu ni ............ Tutakuelewa, sasa CCM wenyewe kila mtu mgombea, hara huyu Jakaya kashusha kabisa heshima ya Uraisi kila mtu anaona ni kazi rahisi, inauma sana

Kwani mgombea wenu chadema ni nani, maana CUF wameshamtangaza Prof.
 
Hii ndio dalili ya kufilisika kisiasa. Pilipili iliyoko shamba la jirani wewe inakuwashaje? Hivi bado unaweza kuamini kuwa UKAWA wanaweza kukosa mgombea mzuri leo hii? Labda TLP, NLD, ....!

Kwani mgombea wa ukawa ni nani?
 
Yuko na mkewe tatizo nini? Huwezi kulinganisha na hawa walio na machangu doa ndani ya chama chenu cha wahuni.

attachment.php

Na yule aliyempiga mimba akaamua kufoji cheti ili mtoto apewe jina la mjomba wake naye ni mkewe? Rais gani anafoji vyeti, anazaa na hawara zake tena aliyewateua kuwa wabunge! Hana sifa ya uadilifu huyu Mbowe.
 
Kwi kwi kwi kwi umeyaona maneno ya Kingunge ndiyo sababu huwezi kutia neno kwani unajua fika wagombea wenu waliojitokeza ni wahuni, wezi na mafisadi. Hebu kuwa mkweli kama Kingunge japo kwa siku moja tu kuhusu wagombea wenu wasio na sifa hata moja ya kutuongoza Watanzania.

Mada hii inazungumzia mgombea zero wa ukawa
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

Sasa kama unajua kuwa CCM itapata ushindi wa kishindo kwanini unaweweseka!? Unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe huu ni upumbafu! Mambo ya UKAWA yanakuwasha nini, kwako kunaungua unakimbilia kuzima kwa jirani huu ni zaidi ya uchizi!
 
Kwi kwi kwi kwi umeyaona maneno ya Kingunge ndiyo sababu huwezi kutia neno kwani unajua fika wagombea wenu waliojitokeza ni wahuni, wezi na mafisadi. Hebu kuwa mkweli kama Kingunge japo kwa siku moja tu kuhusu wagombea wenu wasio na sifa hata moja ya kutuongoza Watanzania.
Wewe ni mpayukaji tu mkuu huna jipya, huna tofauti na mpiga kelele
 
Sasa kama unajua kuwa CCM itapata ushindi wa kishindo kwanini unaweweseka!? Unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe huu ni upumbafu! Mambo ya UKAWA yanakuwasha nini, kwako kunaungua unakimbilia kuzima kwa jirani huu ni zaidi ya uchizi!
Umeandika maneno meengi hakuna la maana hata moja.
 
Weye ni Buku 7 tu ambaye hujali kabisa maslahi ya Tanzania na Watanzania wenzio. Unajua fika jinsi nchi inavyoangamia kutokana na kuwepo mikononi mwa wahuni, wezi, mafisadi, wauza unga, majangili na magaidi lakini kwa Buku 7 tu utaandika chochote kile kuisaliti nchi yako. Maneno ya Kingunge yanawachoma sana lakini ndiyo ukweli halisi.

Wewe ni mpayukaji tu mkuu huna jipya, huna tofauti na mpiga kelele
 
Back
Top Bottom