Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
Hana vigezo zaid ataleta utawala wa kitemi kupora wake za watu kwa kila atakayemtaman.
Spot on,brother!Leo unaskia watu fulani wenye nakisi ya uadilifu kwenye chama kilichoshindwa kwa Miongo zaidi ya 5(Nusu Karne) wanaibuka na kujifanya eti wao wana uwezo mkubwa sana wa kuliongoza kwa ufanisi taifa hili kwa kipindi hiki
Kama hatutatua suala la mfumo wetu mbovu ni ngumu kuleta mageuzi
Uchaguzi wa Mwaka ni uchaguzi wa njia ya mpito kuelekea mageuzi makuu ya kimfumo
Ni uchaguzi utakaoamua hatima ya Tanzania kama Mwanafamilia miongoni mwa familia kubwa ya kimataifa
Ni hatima ya vijana,akina Mama,wazee wa sasa na wa baadae wa taifa hili
Huu sio mwaka kufanya mchezo ule wa kutafuta kisafi katika jalala
Turudi katika misingi ya waasisi wa Taifa letu,tuangalie Dunia ambayo ni jamii pana inayoi-accomodate Tanzania inaelekea wapi
Tumepata nafasi mpya tena ya kistaarabu kufanya maamuzi.Hakuna atakayezuia maamuzi ya kuamua hatima yetu kama Umma wa Watanzania
Alivyoomba ridhaa kwa Josephine alitekeleza yote...? Je kwa nchi ataweza kama ya Ufipa yanamshinda...z
slaa akimrudishia mahimbo mke wake nitampa kura yangu
Alivyoomba ridhaa kwa Josephine alitekeleza yote...? Je kwa nchi ataweza kama ya Ufipa yanamshinda...z