Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata cuf walioamua kumtangaza profesa lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa ccm atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

wanamsubiri lowasa
 
Kweli akili kama huna huna tu, CCM kwani mgombea wenu ni nani? Hao walioko chini ya uangalizi? au Kikwete anaendelea. Hebu unapo toa uzi kama hu kuja na jina la Mgombea, kama hivi, sisi CCM mgombea wetu ni ............ Tutakuelewa, sasa CCM wenyewe kila mtu mgombea, hara huyu Jakaya kashusha kabisa heshima ya Uraisi kila mtu anaona ni kazi rahisi, inauma sana
 
UKAWA mnalala mnaona inawaNdama, mnaamka mnaiota! Mnalo Mwaka huu
 
Kweli UKAWA imewashika pabaya.

Mnaiota usiku na mchana.

Shenzy type na bado.

Siku zinazid kuyoyoma.

Hamtaamin nchi mnavyoiachia hii.
 
Hatuendi kwa matakwa yenu bali kwa kile tunachokiamini na kukitambua muda haurusu mgombea wa Ukawa kutangazwa Tuko kwenye mchakato muda ukifika mtamsikia na kumuona
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

kwa ujumla hukupaswa kuweka uzi wa aina hyo kwnye jf badala yake ungeenda vijijin ambako wanachagua rangi ya kijani bila kuangalia madhara yake na kupiga kampeni zako!
 
Chadema ni chama makin na kila kitu kinafanywa kwa umakin, Ccm mnamakund kama 10 hv kila mtu anataka kuwa rais hata magaid sasa wanataka kuwa marais, ccm kwisha habar yenu mnashindwa kutatua masuala ya wafugaj na wakulima mnabak kupiga wanaondama kudai haki zao, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Kwa hiyo kwa upande wa CCM hawa wezi ndio wanafaa?

attachment.php
 
Ukawa wenyewe yamjua na inamkubali subiri tu muda. Walishampanga na kumkubali vyama vyote.
 
Raisi wetu ajaye ni Dr slaa ndo tuna imani naye
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

Ccm Wote waliotangaza nia hawana sifa
 
Ccm haina right candidate..
HALAFU NENO 'USHINDI WA KISHINDO' limepitwa na kalenda na huwa limekaa kijomba jomba vile.
 
Wanababaika tu, sana watarudia reject zilizokataliwa miaka ya nyuma. Bora hata CUF walioamua kumtangaza profesa Lipumba,mgombea wao wa kudumu.

Natamani uchaguzi ufanyike kesho mgombea wa CCM atangazwe mshindi tena ushindi wa kishindo.

Komredi umeandika maneno machache lakini yamebeba maana nzito sana. Asante.
 
Ukawa kunawahuni tu lakini hakuna viongozi.
 
Back
Top Bottom