Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

Wadau mliojirani na prof Lipumba, mshaurini agombee ubunge jaman, aje aungane na wenyevt wenzake na macomrade wengne kulifanya bunge kuwa hot, urais aachane nao, tujikite kwanza huku majimbon kuidhoofisha escrowCCM
Mie nimeshaongea naye na amesema kuwa Priority Number One is Presidential candidacy, Priority Number Two is Presidential Candidacy na Priority Number Threw is Presidential Candidacy
 
Kumbuka Ukawa wakipitisha jina wanalotaka wengine wanaweza kugombea ubunge kwenye majimbo.Hata Lowasa aliposhindwa kipindi kile aligombea ubunge monduli.
 
Slaa hana sifa za kuwa Rais wa nchi hii labda Rais wa Mapadri! CUF hawato kubali kuburuzwa na UKAWA patachimbika.
 
Huyu mleta thread hii anatafuta uchokozi kwa CCM !! Kama kuna mtu CCM haitaki kusikia anaingia kwenye ulingo wa kugombea urais kama Dr Slaa majibu utayapata hapa hapa timu Lumumba ikiingia hapa CC- Mjepo, Faizafoxy, Simiyu yetu, Lizabon, East African Eagle, Juliana shonza and the like.
Dr Slaa hana ubavu wa kupambana na hata na Lusinde ndani ya CCM
 
Mie nimeshaongea naye na amesema kuwa Priority Number One is Presidential candidacy, Priority Number Two is Presidential Candidacy na Priority Number Threw is Presidential Candidacy
Si mnaona wameanza .Na kama Dr Slaa akipitishwa na UKAWA wanaCCM wengi watapatwa na uchizi kama si kufa kabisa kwa presha na kisukari.
 
Mie nimeshaongea naye na amesema kuwa Priority Number One is Presidential candidacy, Priority Number Two is Presidential Candidacy na Priority Number Threw is Presidential Candidacy

Chadema priority kwa sasa ni uandikishaji wa daftari la wapiga kura mambo ya urais yana muda na taratibu zake
 
Ni ukweli usiofichika kuwa dr Slaa ndie atapeperusha bendera ya ukawa hapo october mwaka huu.Hii inatokana na yafuatayo;
1.Maalim Seif ametangaza kugombea urais zanzibar.
2.Ibrahim Lipumba atagombea ubunge huko Tabora.
3.Mbatia anajiandaa kumtoa Mrema Vunjo.
4.Slaa mpaka sasa hajasema chochote!
Hii inanipa uhakika kabisa kuwa kila kitu kimeshaandaliwa kinasubiri baraka za wadau tu.

unaongea nini wkt cuf wameshatangaza jina watakalopeleka kwenye ukawa ni la Prof Lipumba.
 
Dr Slaa hana ubavu wa kupambana na hata na Lusinde ndani ya CCM

Ha ha ha usingetumia nguvu nyingi kiasi hiki mkuu , ukurasa mzima 3/4 ni thread zako !??!! mwaka huu kazi mnayo mtakoma kulinga. ha ha ha.....
 
Dr Slaa hana ubavu wa kupambana na hata na Lusinde ndani ya CCM

Mkuu kesho wakada wanatoka kifungoni na kila mmoja anaanza kujiimarisha waziwazi tuone Kama hapatachimbika
 
Back
Top Bottom