Mataahira wengi mko upinzani
Uhuru wa maoni.
sio kila kitu kiko wazi huhitaji akili ya kufikiri.Kama Mbatia (NCCR)yuko Vunjo.Lipumba (CUF)atakuwa Tabora na Maalim Seif (CUF)yuko zanzibar unategemea nn?
Hiyo ni njia ya kuelekea huko.Kila chama kitapeleka jina,halafu atachaguliwa mmoja.What next?juzi msemaji wa cuf katangaza kuwa washapeleka jina la lipumba UKAWA kuwania nafas yakuiwakilisha ukawa ktk uchaguz mkuu nafas ya urais,lkn vyama vingine had hiyo juzi walikua bado hawajapeleka majina yao.sasa hizo habar za kutangaza kugombra ubunge zimetoka wapi na ametangaza lin?
sourc ITV na msemaji alihojiwa pale pale na akaulizwa maswali meng tu
Ukweli ni kuwa,wengi tunapenda Dr.Slaa awe mgombea wa UKAWA lakini kumbuka CUF teyari wanakusudia kuwasilisha jina la Lipumba mezani hivyo tusijipe uhakika wa asilimia mia.sio kila kitu kiko wazi huhitaji akili ya kufikiri.Kama Mbatia (NCCR)yuko Vunjo.Lipumba (CUF)atakuwa Tabora na Maalim Seif (CUF)yuko zanzibar unategemea nn?
Taarifa yako imepitwa na wakati. Lipumba ametangazwa na chama chake kugombea nafasi ya urais kupitia UKAWANi ukweli usiofichika kuwa dr Slaa ndie atapeperusha bendera ya ukawa hapo october mwaka huu.Hii inatokana na yafuatayo;
1.Maalim Seif ametangaza kugombea urais zanzibar.
2.Ibrahim Lipumba atagombea ubunge huko Tabora.
3.Mbatia anajiandaa kumtoa Mrema Vunjo.
4.Slaa mpaka sasa hajasema chochote!
Hii inanipa uhakika kabisa kuwa kila kitu kimeshaandaliwa kinasubiri baraka za wadau tu.
Ni ukweli usiofichika kuwa dr Slaa ndie atapeperusha bendera ya ukawa hapo october mwaka huu.Hii inatokana na yafuatayo;
1.Maalim Seif ametangaza kugombea urais zanzibar.
2.Ibrahim Lipumba atagombea ubunge huko Tabora.
3.Mbatia anajiandaa kumtoa Mrema Vunjo.
4.Slaa mpaka sasa hajasema chochote!
Hii inanipa uhakika kabisa kuwa kila kitu kimeshaandaliwa kinasubiri baraka za wadau tu.
Atapeperusha kuelekea baharini au karatu?Ni ukweli usiofichika kuwa dr Slaa ndie atapeperusha bendera ya ukawa hapo october mwaka huu.Hii inatokana na yafuatayo;
1.Maalim Seif ametangaza kugombea urais zanzibar.