Ukweli ni kuwa,wengi tunapenda Dr.Slaa awe mgombea wa UKAWA lakini kumbuka CUF teyari wanakusudia kuwasilisha jina la Lipumba mezani hivyo tusijipe uhakika wa asilimia mia.
..mgombea wa Upinzani atapatikana kwa kupishwa na mwenzake.
..CUF watakuwa na mchango mkubwa zaidi kama watatoa mgombea mwenza kutokea Zanzibar.
..Prof.Lipumba asigombee ubunge, bali azunguke nchi nzima akimnadi mgombea Uraisi na mgombea mwenza kwa ticket ya Ukawa.
..tena itakuwa vizuri zaidi kama wenyeviti wote wa Ukawa hawatagombea Ubunge safari hii, badala yake kazi yao iwe kuzunguka maeneo mbalimbali ya Tanzania wakiwanadi wagombea wa Ukawa.
cc Ben Saanane, Nguruvi3, Molemo, Mag3
Last edited by a moderator: