Urais 2015: UKAWA waanza safari

Urais 2015: UKAWA waanza safari

Ha ha ha usingetumia nguvu nyingi kiasi hiki mkuu , ukurasa mzima 3/4 ni thread zako !??!! mwaka huu kazi mnayo mtakoma kulinga. ha ha ha.....
Endelea kujifariji tu. mwisho wa uhai wenu ni Oktoba 2015
 
Mkuu kesho wakada wanatoka kifungoni na kila mmoja anaanza kujiimarisha waziwazi tuone Kama hapatachimbika
Kani umeambiwa baada ya kifungo ndo watajiachia? CCM tuna mfumo imara wa kusimamia maadili ya chama. Si kama nyie na saccos yenu
 
Kama wazazi wako wamekuruhusu unataka sie tukusaidieje?
 
Si mnaona wameanza .Na kama Dr Slaa akipitishwa na UKAWA wanaCCM wengi watapatwa na uchizi kama si kufa kabisa kwa presha na kisukari.

Yule babu kaisha jamani mtamuua bure! Mwacheni
 
Manning na jme mnachezea akili za watu

Mie nampendaga Ritz...anajua siasa japo anajitoaga ufahamu...but anajua sana siasa za Mwanza...napenda kimwambia Ilemela,Nyamagana,vinabaki upinzani. hawezi bisha.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nawaomba sana wana Cuf eses wazalendo zaidi katika huu umoja wetu wa Ukawa. Kama Lipumba ndiye atakayesimama kwa ajili ya Ukawa tuwe na uhakika tunashindwa tu. Cdm ndicho chama kilicho na mizizi kila kona ya nchi hii, uchaguzi wa serikali za mitaa umeonyesha bila shaka. Ukweli ni kuwa mgombea urais wa Cdm kupitia Ukawa ndiye yuko more likely kushinda kuliko wa Cuf hebu tuwe wakweli tu tusipotezeane muda.

Proff atafute jimbo, aachane na urais, tuwe serious, vinginevyo kama ndiye atakayependekezwa msidai kuungwa mkono kwani kushindwa ni hakika na Ccm wanajua hilo.

Mimi ningependa Cuf watoe tamko kwamba mgombea yeyote atakayepitishwa na Cdm ndiye wa Ukawa. Na haraka tuanze kumtafutia Prof jimbo na mimi napendekeza la hapa Dar kwani atashinda tu.

Msije mkatuondolea hamu ya kupiga kura, tafadhalini sana Ukawa. Tunawapenda.
 
Mimi nawaomba sana wana Cuf eses wazalendo zaidi katika huu umoja wetu wa Ukawa. Kama Lipumba ndiye atakayesimama kwa ajili ya Ukawa tuwe na uhakika tunashindwa tu. Cdm ndicho chama kilicho na miz
izi kila kona ya nchi hii, uchaguzi wa serikali za mitaa umeonyesha bila shaka. Ukweli ni kuwa mgombea urais wa Cdm kupitia Ukawa ndiye yuko more likely kushinda kuliko wa Cuf hebu tuwe wakweli tu tusipotezeane muda.

Proff atafute jimbo, aachane na urais, tuwe serious, vinginevyo kama ndiye atakayependekezwa msidai kuungwa mkono kwani kushindwa ni hakika na Ccm wanajua hilo.

Mimi ningependa Cuf watoe tamko kwamba mgombea yeyote atakayepitishwa na Cdm ndiye wa Ukawa. Na haraka tuanze kumtafutia Prof jimbo na mimi napendekeza la hapa Dar kwani atashinda tu.

Msije mkatuondolea hamu ya kupiga kura, tafadhalini sana Ukawa. Tunawapenda.

Uko sahihi...tulipata shida sana Geita...mjini kwenye S/M...wenzetu wanaomba tugawane mitaa ilhali wao hawana mizizi hata ofsi tu....tukaparaganyika tukakubaliana basi kila mwana ukawa asimamishe mgombea. ..CDM tulichakaza vibaya...tukifuatiwa na CCM....Cuf.vyama vingine walikuwa wanaambulia kura 5...
 
Back
Top Bottom