kwataarifa yako ukawa hawaangalii sura au bashasha kama za baba riz...
UKAWA wanaangalia jembe litakalolima eneo lolote ndani ya nchi hii tukuka.
maamuzi ya ukawa ni kuhakikisha wanaiokoa nchi kutoka kwenye mikono ya utawala dhalim na dhalili huu tulionao sasa.
maamuzi yatakayofanywa na UKAWA yatakuwa ni maamuzi sahihi kwa pande zote ndani ya taifahili tukufu.
wananchi wapenda maendeleo tupo tayari kwa lolote litakalo amuliwa chini ya mwamvuli wa UKAWA.
Suala la msingi ni mgombea atakayeleta ushindi kwa Ukawa.
Kwa hali ya kawaida kabisa DR. Slaa hana maadili mema kwenye jamii iliyostarabika.
Ktk jamii iliyostaarabika watu wote wanatafuta pesa na maendeleo au utajiri kulingana na sheria zilizopo. Lakini hakuna mtu anayekubaliana na suala la kuingilia na kuchafia ndoa za watu.
Huu ndio uliojulikana kama ufisadi tangu enzi za Manabii wetu watukufu.Na adhabu yake ilikua ni kupigwa mawe mpaka kufa.Uchafu wa Dr.Slaa mbele za Mwenyezi Mungu unaadhabu kali kuliko kawaida.Uzinzi ni jambo baya kwani linapoteza uadilifu.
Maadili ya dunia nzima yanapotea kutokana na uzinzi na ulevi wa kupindukia.
Wizi na ujambazi mara nyingi huishia kwenye matumizi ya uzinzi na ulevi.
Mara Nyingi mtu asiyeweza kudhibiti hivi vitu viwili hawezi kuwa mwadilifu katika mambo mengine yote.
Watu wanahonga wanawake vyeo na mara nyingine kuua waume za watu ili tu wapate nafasi ya kujihalalishia michepuko yao.Unategemea DR.Slaa akipata urais yule Mume halali wa mchumba wa Slaa atabaki salama.Je,ataweza kuendelea na kesi yake ya kudai fidia ya kuvurugiwa ndoa yake?Je,Dr.Slaa ataweza kulinda rasilimali za nchi wakati hawezi kudhibiti nafsi yake hata pale anapoambiwa kuwa mke aliyenaye ni mke wa mtu lakini bado anaendelea kuzini naye?
Kwa saikolojia tu ya kawaida inonyesha kuwa Dr.Slaa akiingia madarakani hataweza kumdhibiti Mbowe ,Lema,Ndesamburo, na huyo mchumba wake .
Na pia Dr.Slaa hawezi kuuzika kwenye kundi la wakina mama ambao ni wengi kwani ameonekana kuwa hawezi kuihandle familia hata moja ukianzia na ya kwake mwenyewe.
''Mzee mzima tena Padri anakua na hawara!!!''.Angehama hata dhehebu ili tujue kuwa amejitoa kwenye ukatoliki.
Anachafua sakramenti takatifu ya ndoa halafu anajinadi kuwa ikulu ni mahali patakatifu?
Anachukua mke wa mtu wakati wanawake wasio na waume wako wengi.!!!
Huu ndio ufisadi ,mtumishi wa Mungu nasema.!
Pia Suala la upadri bado ni tatizo kwenye jamii ya kiislam na madhehebu mengine ya kikristo tofuti na RC. Hii nchi waislam na madhehebu mengine ni zaidi ya 60%.Hivyo Huwezi kuyapuuza haya masuala kwenye jamii ya watu wa imani tofauti ,huku zote zikilaani suala la zinaa.
Je,kwa nini tujaribu kushindwa huku tukiwa tunaona wazi.
Nina uhakika Mwaka 2005 kama sio kifo cha mgombea mwenza wa Mbowe na ile hali ya Kikwete kukubalika mpaka kuitwa chaguo la Mungu ,Mbowe angepata kura nyingi sana kuliko Dr.Slaa 2010.
Dr.Slaa alikua hana mvuto pamoja na ukweli kuwa wananchi wenyewe wameshaichoka CCM.
Ukweli ni kuwa ndani ya CDM hakuna mtu anayefaa saaana kuuzwa kwa wapiga kura kwa sasa zaidi zaidi ya Lisu na Zito.
Kama mnabisha wekeni mdahalo wa kuwapima hawa watu.Slaa atadhalilika.