Urais 2015: Jina la Augustino Ramadhan lajitokeza

Urais 2015: Jina la Augustino Ramadhan lajitokeza

Hao walinzi wamesimama tu, hawajui hata pozi la rais kuanguaka
Nadhani wote watafukuzwa kazi, boss anaanguka mnamtazama tu
Tena yamezubaa kama m.av.i
Nadhani alichowafanya huko mbele ni siri yao.mugabe kingaka....! Hata kama kaganda wao wapambe si wana lipwa.?!
 
kuna mtabiri mmoja alisema jina la rais ajaye litakuwa na mchanganyiko wa kikristo na kiislam!

huyo mtabiri ni mganga njaa anayesukumwa na utupu wa tumbo lake kufanya utabiri wa kipuuzi kama huo.
 
kama hivyo ndivyo kwanza itabidi katiba ya zanzibar iandikwe upya kwani hatuwezi kukubali kuongozwa na raia wa nchi nyingine. Sisi wenyewe tunatosha.

exactly, you nailed it dude!
 
Itakuwa siyo chaguo baya ... mwadilifu, anauwezo mkubwa wa kuongoza na kutenda haki ILA sidhani kama ana maono ya Maendeleo kama Lowassa ...

kwani lowasa ana maono ya maendeleo au maono ya UFISADI?
 
Taarifa za ndani wanasema huyu ndiye chaguo la magamba ila sasa wale wa lowassa sijui itakuwaje kwa sababu jamaa anatafuta urais kwa udi na uvumba.
tutampa akiwa nje ya ccm cz ccm si mama yake wala baba yake...aspotoka tutampa dk.slaha
 
Namkumbuka huyo mzee alipewa nyumba Masaki makazi yake akapewa na mihela ili afanye ukarabati alichofanya mzee wa watu kwa uadilifu wake aliamuru zile hela zote zikarabati jengo la mahakama ya rufaha(Court of Appeal) pale Sokoine Drive Posta-Kivukoni. Watu walishangaa sana ila kwa waadilifu wachache ndani ya Tanzania yumo Agustino Ramadhani.

akijiunga UKAWA itakuwa vema lakini akijiunga CCM atapata shida sana kwa kuwa CCM hawawapendi watu waadilifu.
 
Kama hivyo ndivyo kwanza itabidi katiba ya Zanzibar iandikwe upya kwani hatuwezi kukubali kuongozwa na raia wa nchi nyingine. Sisi wenyewe tunatosha.


Nahisi kama umekosea mkuu katiba inayotakiwa ibadilike ni katiba ya Tanzania(ya mungano) sio ya Zanzibar,Zanzibar wanajitambua.... kumbuka kuwa Augostino Ramadhani ni Mtanzania ana haki zote ya kuwa raisi wa Tanzania lakini wakati huo huo Augostino ni Mzanzibari

Kwa mwenye akili za kutosha ambao wako kidogo sana Tanzania wangelijiuliza kwanini Mtanzania kutoka upande wa pili wa Mungano (Tanzania Bara,Tanganyika nk,,,,,)hawezi kutawala Zanzibar wakati Zanzibar ni Tanzania.....

Sasa ingekuwa (Tanzania Bara,Tanganyika nk,,,,,) nayo ni nchi ina serikali yake, raisi wa mungano wa nchi hizi mbili angelitoka sehemu yoyote ya mungano

Ndio maana unataona hii Katiba ya mungano ambyo inasimamia sehemu zote za mungano ni "kuzungu mkutu mwenzangu yuko huku"
 
huyu jamaa ni mchungaji wa kanisa na kiongozi mkubwa kabisa..... hafai kabisa hatuwezi tukachagua mchungaji awe kiongozi wa nchi. kwenye public anaweza kuwa yupo neutral lakini inside ataendesha mfumo kristo hatari sana. nchi hii mtaibomoa.... mnataka kuanzisha muslim brotherhood kwa hili swala.

mbona tuliongozwa na sheikh kwa miaka 10, akija mchungaji inakua nongwa.
 
Sidhani kama hoja yako ni ya msingi.

Mtu yeyote atakayechukua uongozi lazima atakuwa na imani fulani, kama si mpagani.

Kama unazungumzia udini hiyo ni hulka ya mtu. Kwa taarifa yako, kuna watu ambao si wachungaji wala mashehe lakini ni wadini kupindukia..!

kama FaizaFoxy, MDINI namba 1 afrika mashariki na kati.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli Nipo radhi niongozwe na kiongozi yyt wa dini ila sio hawa wezi watoa roho za watu,mijitu Haina hata haya inaiba mchana kwenye bila hata hofu ya Mungu...........

haya majizi akina lowasa, pinda, membe na NYANI hawafai kabisa.
 
Kipindi alipokuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar,CUF ilishinda CCM wakachakachua. CCM ni walewale.
 
Hata wakati akiwa Judge alikuwa mpiga kinanda kwenye kwaya, na pia ni mwanajeshi kwa cheo nadhani cha Brigedia General. kabla hajawa Judge nasikia alitokea jeshini kwenye mahakama zao za Court Marshal
 
Nahisi kama umekosea mkuu katiba inayotakiwa ibadilike ni katiba ya Tanzania(ya mungano) sio ya Zanzibar,Zanzibar wanajitambua.... kumbuka kuwa Augostino Ramadhani ni Mtanzania ana haki zote ya kuwa raisi wa Tanzania lakini wakati huo huo Augostino ni Mzanzibari

Kwa mwenye akili za kutosha ambao wako kidogo sana Tanzania wangelijiuliza kwanini Mtanzania kutoka upande wa pili wa Mungano (Tanzania Bara,Tanganyika nk,,,,,)hawezi kutawala Zanzibar wakati Zanzibar ni Tanzania.....

Sasa ingekuwa (Tanzania Bara,Tanganyika nk,,,,,) nayo ni nchi ina serikali yake, raisi wa mungano wa nchi hizi mbili angelitoka sehemu yoyote ya mungano

Ndio maana unataona hii Katiba ya mungano ambyo inasimamia sehemu zote za mungano ni "kuzungu mkutu mwenzangu yuko huku"

Inawezekana. Kama Zanzibar isingekuwa imeandika katiba ambayo inaitambua kama nchi labda hiyo argument ingekuwa valid. Naomba msaada kwa kuwa kwa kweli mimi siyo mwanasheria. Zanzibar siyo sehemu ya Tanzania bali ni nchi. Kwa maana hiyo kuna nchi 2. Sasa ni kwa nini atoke mtu kutoka nchi nyingine kuwa kionhozi kwenye nchi nyingine? Ok. May be you have a point. Atakuwa tu anatawala Tanganyika na kama akienda Zanzibar pamoja na kutoka huko hatapogiwa mizinga kwani bado rais wa Zanzibar atakuwa ni bosi kwenye nchi yake. Sasa hii inakuwaje? Tanganyika itabadili katiba ili isomekeje? Kumbuka hata andishi la 6 na Chenge bado litabidi lipite kwenye baraza la wawakilishi. Please educate me.
 
Back
Top Bottom