Me nafikiri tukimpata kiongozi ambaye ni shekh au mchungaji lakini wawe matiifu kwa MUNGU ni bora kuliko hawa vibaka, kwaani hata wezi wataogopa kupeleka hoja zao za wizi. watapata ugumu. Nakumbuko kulikuwa na mkurugenzi wa misitu na nyuki wizara ya maliasili na utalii prof. IDD sijui kwa sasa yuko wapi, huyu mzee alikuwa mtu wa MUNGU swala 5, wezi walipata taabu kweli kweli, vimemo vya kuomba vibari vya kuvuna mali asili vilizidi akaamua kuacha kazi ile akarudi kwenye taaruma yake.
Hivyo tukimpata kiongozi mcha Mungu awe mkristo au mwisilamu ni bora mara 100 kuliko mwizi.
Mbona mkapa alikuwa mkristo na waislamu wanamkumbuka mpaka kesho kuliko JK mwisilamu mwenzao? kwa mfano alikubari kuweka kwenye ilani ya uchaguzi mahakama ya kadhi, aliwapa majengo ya kilichokuwa chuo cha tanesco kuwa chuo kikuu cha kiislamu- Morogoro? kuna msemo unasema bora kafiri aliyepita kuliko huyu mwisilamu JK.