Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

Hatuwezi kukubali kuanguka jukwaani ni sawasawa simply because na mwingine aliwahi kuanguka. Mmoja alidai alianguka kwa kuwa swaumu ilikaza. Je, huyu mwingine ni jukwaa lilikuwa bovu au alikuwa anaumwa? Jamani siuo jambo la kawaida rais wa nchi kuanguka jukwaani hata kama alikuwa anashuka. Akiwa simba au chui umri ukifika aachie ngazi. Sasa inawezekana ndo anaanza mchakato wa kufa akiwa madarakani cause hatujui kaumia kiasi gani. Kumbe angekuwa amwachana na madaraka asingekuwa analazimika kupanda kwenye majukwaa. Iwe ni fundisho kwa ving'ang'anizi wa madaraka.
 
mugabe-robert-fall.jpg
mugabe-robert-fall-2.jpg



mugabe-robert-fall-3.jpg
 
Ni aibu kwa viongozi wa Africa kung'ang'ania madaraka, ni hivi punde tu Rais wa Zimbabwe ameanguka ktk ngazi za jukwaa akiwa anashuka, amekuwa akiiongoza nchi ya Zimbambwe tangu 1980 hadi sasa, Reported by Aljazeera

I think he is legally blind, must he rule by force?
 
Hao walinzi wamesimama tu, hawajui hata pozi la rais kuanguaka
Nadhani wote watafukuzwa kazi, boss anaanguka mnamtazama tu
 
Umri anao sawa but mwanadamu kuanguka tegemea saa yoyote, I like Mugabe to the extent, Nyie mnao ombea watu waanguke ndo mpate habari basi kuanzia sasa mshindwe kwa jina la langu, Hamna maana kabisaaaaa, nadhani mtakuwa vibaraka tu wa ugaibuni
 
Ni aibu kwa viongozi wa Africa kung'ang'ania madaraka, ni hivi punde tu Rais wa Zimbabwe ameanguka ktk ngazi za jukwaa akiwa anashuka, amekuwa akiiongoza nchi ya Zimbambwe tangu 1980 hadi sasa, Reported by Aljazeera

Nimeona,halafu walivyomchoka wamemuacha chini kwa sekunde kadhaa bila kumnyanyua.
 
Hao walinzi wamesimama tu, hawajui hata pozi la rais kuanguaka
Nadhani wote watafukuzwa kazi, boss anaanguka mnamtazama tu

Yan they are fired! Huyo kikongwe alimfuta kaz hata yule mama aliyesemd atarithi urais huyo mding akidanja
 
Anatamani kifo kisingekuwepo ili atawale milele, shame on him!
 
AngeRIP kabisa.viongozi mbumbumbu na madikteta ndiyo waliotufikisha waafrika hapa tulipo.yeye na museveni ni watu hatari kwa maendeleo ya demokrasia afrika.

Ndivyo wazungu walivyokujaza ujinga,kile kibibi kule uingereza mbona aki pumziki,amuachie nani hao viongozi wenyewe wenye umr mdogo ndio wanaongoza kwa kuuza rasilimal za mataifa yao kwa wawekezaji kwa tamaa ya ten percent.Wazungu wanatumia kigezo cha umri kueneza propaganda za umri kisa mzee ataki kuwafungulia milango ya kukomba rasirimal .
 
Hao walinzi wana kazi gani? Mbona kama hawaoneshi juhudi yoyote ya kumwokoa wanamwangalia tuu mzee wao anavyoanguka!!
 
Walinzi wake Makauzu sana, mzee hadi anadondoka chini kabisa bado hawajafanya uamuzi! Au walidhani amepigwa shaba? Yaani kidogokidogo kama anadensi vile mpaka chini.
Boss mpya wa AU, wameona ni mpenda madaraka na hana mpango wa kustaafu, dawa ni kumrundikia kazi hadi aombe poo.
 
Back
Top Bottom