Hizi ni Habari nyeti nimeamua kuziweka humu mtandaoni, hii ndio timu ya CCM itakayo peperusha bendera ya CCM ni habari kutoka katika vyanzo vyangu vya Habari, Hawa ndio watu CCM itakao waleta mbele ya watanzania, Mangula alisema zamu hii ni zamu ya wazanzibar. Kwahiyo kazi ipo kwetu wana UKAWA kumsimamisha watu ambao watakubalika zaidi.