bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Ni utumbo mtupu hakuna mgombea Urais anaye faa toka CCM.
tunataka mtu ambae urais utamfuata si kuhonga pesa ili uwe rais.
Kuna mtabiri mmoja alisema jina la rais ajaye litakuwa na mchanganyiko wa kikristo na kiislam!
tunataka mtu ambae urais utamfuata si kuhonga pesa ili uwe rais.
Huo upadri huko hauna ukomo wa umri?alafu huyu jaji kanisa la anglikana si wameshampa UPADRI.
Tunataka rais makini atakayetaka maelezo toka kwa Warioba tujue hela zetu za Mwananchi gold zilikokwenda.Wakuu
Nchi kwa sasa hivi inamtaka mtu mwenye vigezo vya jaji Warioba. Kama watanzania wakimwomba na akakubali Warioba tu ndo kiongozi aliyebakia.
Huo upadri huko hauna ukomo wa umri?
Kama hivyo ndivyo kwanza itabidi katiba ya Zanzibar iandikwe upya kwani hatuwezi kukubali kuongozwa na raia wa nchi nyingine. Sisi wenyewe tunatosha.