omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,677
SadlyNdiyo nchi yetu ilipofikia Mkuu. Upumbavu wa hali ya juu kila kona tena unaanzia Ikulu.
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
SadlyNdiyo nchi yetu ilipofikia Mkuu. Upumbavu wa hali ya juu kila kona tena unaanzia Ikulu.
Nimekusoma, ila wewe sababu zako ndio mfu zaidi...Sababu zako ni mfu
Asisahau kumuunganisha na Kato MzilangendeAliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
Yan huyu mpumbavu loh!Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
Ndio maana watanzania bado tumeendelea kuwa masikini licha ya kupata Uhuru miaka 58 iliyopita. Taharuki nyingine ni gazeti la Tanzanite nalo limehamia kumchafua CAG kisa tu kaikosoa serikaliNina mashaka kama kuna kazi kwa sasa katika ofisi zetu za kiutawala katika ngazi za Wilaya hasa kwa hawa vijana. Huyu baada ya kuwa mbunifu kuwasaidia vijana wetu wa CCM wanaoteswa na ukosefu wa ajira yeye anapigana na akina Zito Kabwe as if ndio agenda yetu ya Chama. Kijana amepata ajira CCM ya Ukatibu wa Wilaya baada afanye yenye manufaa anaanza ujinga. Hasara kabisa huyu kijana maana uraia wa Zito unawezaje kutatua matatizo tuliyo nayo kwa vijana wetu wa CCM.
wameandika nini hao vilaza leoNdio maana watanzania bado tumeendelea kuwa masikini licha ya kupata Uhuru miaka 58 iliyopita. Taharuki nyingine ni gazeti la Tanzanite nalo limehamia kumchafua CAG kisa tu kaikosoa serikali
Ana msongo wa kutapeliwa korosho huyo.uko sawa sawa kweli wewe au una mapepo mimi nina husiano gani na huyo aliyempeleka zitto mahakamani
Mbona wamemhamisha wangemuacha huko huko
Aache utoto uliopitiliza, Zitto anamjua au anamskia.
Bwana Matefu hivi Zitto akiunga mkono juhudi utaenda mahakamani?Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,