Uraia wa Zitto Kabwe sasa kuamuliwa Mahakamani

Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.

“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
Sasa huyo Matefu ameshushwa cheo?........ Kutoka wa Mkoa hadi Wilaya isije ikawa amevurugwa!
 
Zito mrundi by wazazi wake walikotokea, ils bwana hii mipaka iliwekwa na wakoloni. Zitto kazaliwa Tanzania hivyo ni mtz.
 
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu.
yaapi ana haki ya kujipendekeza zaidi kwa mkulu bado kuna teuzi kibao zinakuja,bravo agustino matefu,if you have one bullet left just fire it dont worry,
 
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.

“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu

Katika vijana wajinga basi kaka yangu Mtefu anaongoza...Hayo mawazo kichaa yametoka wapi? ni yupi kati ya hao mliowasema siyo watanzania aliyewahi kukutwa na hatia? kila anayeonekana kuleta challanges mnakimbilia siyo raia, achana na ujinga my dear brother
 
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.

“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu

Hii imeitapunguza utata wa uzaliwa na uzalendo wa ZZK Tanzania
 
Kesi hii iliishia wapi?
Dalili za kufufuliwa zinaanza kujitokeza
Ngoja amalize kumtetea Mpango
Hahahhh hii nchi raha sana tunaenda mbele tunarudi nyuma tunasimama katikati hatuelewi tuelekee wapi?
 
Back
Top Bottom