Hata Congo yote bila kagame ingekuwa bado under your dad mobutu na usisahau president kabila was fighting under kagame too...next.
Hujajibu lolote. What is the connection between M23 (supposedly congolese-tutsi) and RPA(Rwandese-tutsi)?
Na vile vile niongeze kwa vile umelianzisha, kagame alishiriki mapinduzi congo ili iweje, was he congolese like kabila? You do remember what happened few weeks after Kabila said "Rwandese go home" right? He was karegeyad! Anyway back to the main question. M23 leaders and RPA please.
Sio kosa lake sana, huko kwao Rwanda hakuna uhuru wa mawazo wala hakuna uhuru wa mijadala. Kagame thinks on their behalf. Kwa hiyo anadhani dunia nzima ndio iko hivyo hivyo.
Ndio maana tulimuomba link ya angalau internet forum moja tu ya Rwanda akashindwa kutupatia. Ni watu wa kuonea huruma. Si unamuona hata uwezo wa kujadili hana anaishia kutukana tu.
Hiyo ndo Rwanda wazee wa kulialia JWTZ ilivyoenda kuwadunda M23 walianza kulialia mara Nyerere angekuwepo asingeruhusu mara askari wa JWTZ wamebaka oh mara Mama Kikwete si raia wa Tanzania ni mhutu.
Wapi na wapi Lindi na Rwanda ,angalau basi Lindi kuna plantation zilizochukua Manamba huko Rwanda tungesema basi kweli anaweza kuwa na nasaba za huko Rwanda.
Nchi hazipigani au kuchukiana kwa sababu raisi katukanwa au kuzomewa,your wish Kenya wachukiane na Rwanda..umeishiwa wewe na akili yako iliyofilisika
Sikiliza mshamba wewe M23 is not Rwanda na acha ndogo zako za kibwege za kufikiri watanzania wanasikiliza upuuzi we nu kama unachukia Rwanda fight your own battle sio propaganda zenu haters wakubwa nyie
Rais wa interahamwe wakati wa genocide aliyekuwa anaongoza mauaji hayo alikuwa ni MTUTSI aitwaye Robert Kajuga!
Bosco Ntaganda, Sultani Makenga plus all other senior members of M23 were once members of RPA fighting under Kagame in 94. Can you explain how come? For all we know hata kagame mwenyewe asingekuwa rais angeweza kuwa M23 today. Until you explain this riddle then M23=Rwanda!
Hujajibu lolote. What is the connection between M23 (supposedly congolese-tutsi) and RPA(Rwandese-tutsi)?
Na vile vile niongeze kwa vile umelianzisha, kagame alishiriki mapinduzi congo ili iweje, was he congolese like kabila? You do remember what happened few weeks after Kabila said "Rwandese go home" right? He was karegeyad! Anyway back to the main question. M23 leaders and RPA please.
Mukamasimba hawa jamaa wala sio wabongo ni remnants wa interahamwe wanajaribu kumwaga sumu humu..na wana hamu sana kuona Rwanda na Tanzania wanagombanaKenyans are serious people when it comes to business,usifikiri ni watu wa majungu kama wabongo,so sorry hamtaona tatizo kati ya rwanda na kenya.
JMali,
Ungekuja na list ya wahutu waliozaliwa au kukulia nje ya Rwanda pia basi. Suala si ututsi au uhutu bali ni historia iliyopelekea kwa watu kufukuzwa au kukimbia nchi yao kutokana na chuki na state sanctioned persecution. Hivi unafikiri mauaji ya watutsi yalianza 1994? Wengi wa waliokulia nje (ikiwemo Tanzania) hawakupenda kwa hiari. Ni victims of circumstance.
Koba, are you a man or woman? If you are a man, then you are a g.a.y! Am sorry, but the way you argue makes me think so. Please forgive me in case I have offended you. Tell me otherwise. .
Mmemsahau Joseph Kabila, rais wa DRC mnyarwanda ambae waCongo hawataki kumsikia. Kumuita Laurent Kabila baba ake ni gelesha tu na kuna tetesi alihusika kwenye kifo cha Laurent Kabila. Hapo bado yupo Mseveni naye asili yake ni kulekule Rwanda
Acheni uzushi,M23 hamkuifanya chochote ndio maana monusco wamenza kulia eti ~M23 imerudi tena,imetoka wapi? Eti mliiponda sasa hii imetoka wapi?
To apologize is a sign of wisdom!...keep on hurling insults. I don't have to hate rwanda, I hate the evil behaviours of some of yr people; may be including you. Got it right? I DONT HATE PEOPLE, I HATE EVIL BEHAVIOURS. I didn't create anyone, so I don't have right to hate any one. Hope you got me if your brain works well...the good thing unajitambua we ni bonge la ndina...unaapologize nini..yes umemuoffend,getting to knw whether he/she is a man or woman will not make u any better....we kama ni hater wa rwanda unajisumbua....siyo wa kwanza wala wa mwisho....tatizo linaanzia kichwani pako na litagusumbua maisha yote...... "it is the matter of time"
The good thing nikwamba wengi tunakubaliana kwamba hii thread haina maana, na muanzilishi ana spread hatred!
I have big respect kwa jamaa mmoja mchangiaji aliyewahi kufanyia kazi UN-ICTR najua alisikia mengi and he knows more than many of us:
Baadhi ya comments hazisaidii jamii lolote..
Comments like..Watutsi waliuwa wa Tutsi wenzao
...................Utata wa Uraia wa WaTutsi etc sometimes inakuwa vigumu kuendelea kujadiriana na mtu mwenye mawazo kama hayo:
naona bora thread isimamishwe tuu..
Nikuulize wewe kwani kulikua na connection gani kati ya watanzania na ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika? kiasi kwamba watanzania walipoteza maisha yao ili waafrika hao wapate uhuru? nafikiri jibu lako litakua limejibu swali lako.