murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Let me quote you there: "the enemy you know is better than the enemy that you don't know" . Wewe enemy wako mkubwa ni interahamwe, now we KNOW for a FACT, that actually interahamwe was led by a tutsi, inakuwaje hapa? wewe ndio una chuki kwa kulazimisha adui awe mhutu kwa ulazima.
Huyu kajuga (mtutsi) aliongoza interahamwe kuua watutsi wenzie na kuwabaka na kuwapora mali zao, wengine wakakimbilia Hotel Rwanda walikohifadhiwa na Paul Rusesabagina (Mhutu), ambaye leo watutsi nyinyi mshamgeuza adui!
Lakini kwa kuwa dictatorship inasema adui ni mhutu wewe zombie unajitoa uhafamu!
Mimi nimeshakuwambia wewe ni expert in googleism....Hiyo hotel iko wapi?
Soma hapo chini kwenye nyekundu unless unaona kama nyoka (black and white). Hii imetoka kwenye wikipedia. If have comprehension capacity then I think i will not hear about Kajuga again from you otherwise I will assume you don't have the capacity.
Robert Kajuga (militiaman)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
[TABLE="class: metadata plainlinks ambox ambox-content ambox-multiple_issues compact-ambox"]
[TR]
[TD="class: mbox-image"][/TD]
[TD="class: mbox-text"] [TABLE="class: collapsible, width: 95%"]
[TR]
[TH="align: left"][hide]This article has multiple issues. Please help improve it or discuss these issues on the talk page.[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD] [TABLE="class: metadata plainlinks ambox ambox-content ambox-BLP_sources"]
[TR]
[TD="class: mbox-text"]This biographical article needs additional citations for verification. (June 2011)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: metadata plainlinks ambox ambox-content ambox-Notability"]
[TR]
[TD="class: mbox-text"]The topic of this article may not meet Wikipedia's general notability guideline. (June 2011)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994.
Ironically, he was from a Tutsi[SUP][2][/SUP] family whose father had acquired Hutu identity papers for his family. In order to avoid any kind of suspicion about their family being Tutsi, Robert Kajuga kept his brother hidden at the Hôtel des Mille Collines in Kigali.
Kajuga fled Rwanda in 1996, taking refuge in nearby Congo for 2 years, before being arrested by UN Security forces and standing trial in Kigali and being sentenced to life imprisonment for war crimes.
Wikipedia ni huru anyone can edit it, i can go in right now and claim the dude was actually indian! Umeona hapa kwenye hiyo hiyo quote yako:
This biographical article needs additional citations for verification. na hapa:The topic of this article may not meet Wikipedia's general notability guideline. (June 2011)???
Anyway ngoja nikupige na hii hii:
Nimeona hapa i quote: "Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994."
ehee, ulikuwa unataka kusemaje sasa?
1. Is he Tutsi or not?
2. Did he lead interahamwe at the time of Genocide or not?
Hii ya interahamwe kuongozwa na mtutsi is so preposterous it is laughable. Hata Bagosora na Kambanda would be appalled by such a deposit. Naona Inkingi mko full throttle. Haya endeleeni. He he he.
Soma hapo chini kwenye nyekundu unless unaona kama nyoka (black and white). Hii imetoka kwenye wikipedia. If you have comprehension capacity then I think i will not hear about Kajuga again from you otherwise I will assume you don't have the capacity which i believe is the case.
Robert Kajuga (militiaman)
Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994.
Ironically, he was from a Tutsi[SUP][2][/SUP] family whose father had acquired Hutu identity papers for his family. In order to avoid any kind of suspicion about their family being Tutsi, Robert Kajuga kept his brother hidden at the Hôtel des Mille Collines in Kigali.
Kajuga fled Rwanda in 1996, taking refuge in nearby Congo for 2 years, before being arrested by UN Security forces and standing trial in Kigali and being sentenced to life imprisonment for war crimes.
Wikipedia ni huru anyone can edit it, i can go in right now and claim the dude was actually indian! Umeona hapa kwenye hiyo hiyo quote yako:
This biographical article needs additional citations for verification. na hapa:The topic of this article may not meet Wikipedia's general notability guideline. (June 2011)???
Anyway ngoja nikupige na hii hii:
Nimeona hapa i quote: "Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994."
ehee, ulikuwa unataka kusemaje sasa?
1. Is he Tutsi or not?
2. Did he lead interahamwe at the time of Genocide or not?
He is a tutsi...where is he now?
Or better yet where did you want him to be?
You are correct, glad you agreed Robert kajuga is your brethren, now, did he lead interahamwe at the time of genocide or not, answer me this first before we continue!
Moderators plzz uondoe huu uzi ,sidhani kama unajenga ! zaidi unabomoa na kuleta chuki za kijinga...ona huyu mjinga kaweka picha ya mtu na mpenziwe its not fair...kingine watu wasilete chuki zao binafsi kwa ukabila wao.nawakilisha.
Kweli wewe mbumbumbu. watutsi wenye human heart or otherwise unawatambuaje? Wana alama gani? Au watanzania wenye human heart unawatambuaje? wanavaa sare gani? Wewe mgonjwa aisee. Mwambie Jean Marie Iscariot akusindikize Milembe.
Spin it whatever you want, wewe ni hater tuu wa watutsi na kumbuka anybody can come with millions reasons to justify anything, you singled out hao watu hapo juu for one and only one reason... TUTSI,shame on you, Kazi yako ni kueneza chuki tuu juu ya watutsi ndio maana huchoki posting garbage and seems you are in someone payroll, utawapata ignorant fools and extremist wenzako ndio wanakuamini,na ------ kama wewe ndio mliosababisha genocide itokee na hata humu jf wakikuachia na huu upuuzi wako you can make some damage,post zako doesn't belong here at jf Kuna extremist websites peleka kule ila one thing for sure you are not going to win or gain anything from hate propaganda and it will backfire 100%.
Jibu hoja @ Koba na sio matusi hapa ni jf tunabisha kwa hoja.Hivi kweli mnaweza kuwa na forum Kama hii kwemu jmali kawashika papaya.
Jibu hoja @ Koba na sio matusi hapa ni jf tunabisha kwa hoja.Hivi kweli mnaweza kuwa na forum Kama hii kwemu jmali kawashika papaya.
mjadala ulioanzisha lengo hasa ni kitu gani.?1. Patrick karegeya: kazaliwa uganda kakulia uganda, kasoma digrii makerere, kaingia jeshini uganda hadi cheo cha luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu? wait for it; baada ya kagame kupindua serikali halali ya Rwanda, ghafla this guy akawa HEAD OF EXTERNAL INTELLIGENCE katika jeshi la ulinzi la Rwanda!
2. James kabarebe: kazaliwa rutshuru congo, kasoma makerere, kawa Chief of military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa cheo cha chief of staff jeshi la Rwanda!
3. Bosco Ntaganda: kazaliwa Rwanda, kapigana vita vya 94 akiwa na Kagame kupindua serikali ya Habyarimana, huyu si mRwanda kabisa huyu? wait for it; sasa hivi anajibu mashtaka Hague, akidai yeye ni Mcongo kabisaaaaaaaaaaaa! lakini hazungumzi kifaransa, lingala wala lugha yoyote native in congo, bali kinyarwanda tu!
4. Laurent Nkundabatware: huyu naye supposedly ni Mcongo, lakini haieleweki ilikuwaje akajoin jeshi la kagame RPF mwaka 94. baada ya kufanya makosa ya kihalifu sasa anahifadhiwa RWANDA kama "special guest". Kwa nini Rwanda inamhifadhi mhalifu wa kivita anayetakiwa nchi nyingine bila sababu, hakuna anayejua.
5. baba lao Paul Kagame mwenyewe kakulia Uganda toka ana miaka 3 naona hata kuongea alijifunzia Uganda, kawa askari wa Uganda na hata hapa Bongo alikuja kutrain akiwa kama mganda, leo hii....Rais wa Rwanda.
Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.
mjadala ulioanzisha lengo hasa ni kitu gani.?
nahisi untumia multiple ID kujijibu na kusambasa siasa za chuki.kabla ya 1940 watusi,wahutu,watwa walikuwa sehemu ya utawala wa ujerumani, na kabla ya hapo kulikuwa na tawala za kiafrika kabla ya Scramble for Africa amabapo mipaka ilichorwa kuigawa africa bila kuzingatia watu waliomo katka sehemu husika.
hoja zako zimepitwa sana na wakati hasa ktk karne hii.
Je unatambua ukiwa na dola laki 5 unapata ukazi marekani na muda mfupi unakuwa raia wa marekani,
Je unatambua ukiwa na euro laki 2 unapata urai nchi ya europe?
usipoteze resources kutandaza chuki ktk mtandao kwa kigezo cha uraia,
Nyerere alitumia muda mwingi kujenga umoja wa africa bila kuzingatia kabila wala udini,ndio maana sasa unaweza kukaa mbele ya pc/ laptop ukasambaza uchuki na ukabila ktk mtandao bila woga,jenga urithi wa amani na utawala bora tanzania na Africa
Kweli wewe mbumbumbu. watutsi wenye human heart or otherwise unawatambuaje? Wana alama gani? Au watanzania wenye human heart unawatambuaje? wanavaa sare gani? Wewe mgonjwa aisee. Mwambie Jean Marie Iscariot akusindikize Milembe.
mjadala ulioanzisha lengo hasa ni kitu gani.?
nahisi untumia multiple ID kujijibu na kusambasa siasa za chuki.kabla ya 1940 watusi,wahutu,watwa walikuwa sehemu ya utawala wa ujerumani, na kabla ya hapo kulikuwa na tawala za kiafrika kabla ya Scramble for Africa amabapo mipaka ilichorwa kuigawa africa bila kuzingatia watu waliomo katka sehemu husika.
hoja zako zimepitwa sana na wakati hasa ktk karne hii.
Je unatambua ukiwa na dola laki 5 unapata ukazi marekani na muda mfupi unakuwa raia wa marekani,
Je unatambua ukiwa na euro laki 2 unapata urai nchi ya europe?
usipoteze resources kutandaza chuki ktk mtandao kwa kigezo cha uraia,
Nyerere alitumia muda mwingi kujenga umoja wa africa bila kuzingatia kabila wala udini,ndio maana sasa unaweza kukaa mbele ya pc/ laptop ukasambaza uchuki na ukabila ktk mtandao bila woga,jenga urithi wa amani na utawala bora tanzania na Africa
Yes he led the interahamwe. I'm asking you where is he now?
Teh tehe teh lazima alikuchapia sio bure...and FYI watutsi watanzania wapo wengi sana in millions wamejaa mikoa ya kagera,kigoma,tabora,Mara etc uliwahi kusikia wahangaza,waha,washubi,wahima?hao lugha zao ni 100% Kirundi na rwandese,huko karagwe na bukoba koo nyingi ni za kitutsiIt's not fair kivipi?? Ukweli ndio huo japo mods wameiondoa picha hiyo haibadilishi kuwa Anorld Kayanda ni Mtusi na sio raia anayejificha kwenye chaka la uTanzania na kujiita mtu wa Karagwe.. Ishasomeka...
85% hutus inaongozwa na Tutsi huu ni uchizi usio kifani.
So JMarie unataka kusema kuwa Interahamwe ilikuwa group iliyoundwa na Mtutsi (Kajuga, manake i can see this is what you think is the strong argument to support your ideology):Una maana Watutsi waliuana wenyewe kwa wenyewe sio?Kwani Interahamwe lilikuwa kundi gani na lanani hasa ...Interahamwe lilikuwa kundi la wanamgambo wa MRND chama cha kisiasa cha Habyarimana, walipewa mafunzo na silaha kutoka kwa serikali na sio Kajuga:Kajuga alikuwa Interahamwe as a Hutu manake ID yake ilikuwa na Hutu sio Tutsi, ali ficha true ID:Kwenye road blocks ulikuwa unaulizwa kuonyesha ID wakikuta kumeandikwa Tutsi unauawa, kukiwa kumeandikwa Hutu unaendelea:My main concern ni wewe kujaribu kueneza hatred against Tutsi na kutaka kumfanya mTutsi kujisikia guilty popote alipo:Yaani, maovu yaliyofanywa na wahutu NOTE🙁sio wote) yasahaulike, na attention iwe kwa wale waliouliwa:Imagine eti Uraia wa waTutsi..so what???:kwa mantiki yako it is as if hawa niviumbe waliotoka sijui wapi yaani hawana nchi, na hawatakiwi kushika nyadhifa zozote kwenye society just because they are minority, hata huo uminority sijui una statistics umefanya..For you mTutsi hata kama ana uwezo hafai kupewa nafasi kwenye jamii ehh!!hiyo ndio Genocide ideology tunayoiongerea..Wikipedia ni huru anyone can edit it, i can go in right now and claim the dude was actually indian! Umeona hapa kwenye hiyo hiyo quote yako:This biographical article needs additional citations for verification. na hapa:The topic of this article may not meet Wikipedia's general notability guideline. (June 2011)???Anyway ngoja nikupige na hii hii:Nimeona hapa i quote: "Jerry Robert Kajuga was the national president of the Hutu extremist militia, the Interahamwe,[SUP][1][/SUP] which was largely responsible for perpetrating the Rwandan Genocide in 1994." ehee, ulikuwa unataka kusemaje sasa? 1. Is he Tutsi or not?2. Did he lead interahamwe at the time of Genocide or not?