Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,373
- 5,975
Unazungumza hoja za kutunga bila ushahidi wowote na una mawazo finyu sana. Huonyeshi cause na effect.
Eti 😁👉Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu
Hana ushahidi wowote juu ya hilo, huyu ni mmoja kati wachache wasiotaka uraia pacha.