Kwanini Serikali ya CCM inaogopa Uraia Pacha?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Swala la uraia pacha lina manufaa sana kimaendeleo sababu raia wake wana uhuru wa nchi zote walizokuwa na uraia na sio kama wageni.

Uraia pacha umeleta mabadiliko sana kwa nchi ambazo zimekubali au kupitisha mfano maendeleo ya uchumi, ufanisi, uwekezaji kama raia, ubadilishanaji wa maarifa, mabadiliko ya raia, serikali na siasa.

Jampo ambalo Tanzania inaogopa ni vitu viwili kama nilivyoviorozesha:

*Ubadilishanaji wa maarifa
Hapa ndio uwoga wa Serikali ya CCM bindi raia wake wenye uraia pacha wanapokuja na maarifa na mwenye haki kama raia wanawaza anaweza kuwa zindua wengine kwenye jamii yake kuanzia uchumi, siasa na kijamii. Kama mtu mwenye uraia pacha basi ana haki ya kulindwa na sehemu zote mbili kama ajavunja Sheria.

Sasa kimbembe una uraia wa USA na Tanzania na siunajua mwiguru aliseme tukimbilie Burundi akifahamu hata kama tungekuwa na uraia Burundi na Tanzania haki tungekosa sababu wote tuna kandamizwa na watawala.

*Mabadiliko ya raia, serikali na siasa
Ili jambo kwenye Serikali ya CCM ni mwiba upande wa uraia pacha sababu kubwa mtu mwenye uraia pacha ni rahisi kubadili mwelekeo sababu anajifunza na kuwa uhuru kuliko mgeni asiyekuwa na uraia.
Kwa upande wa ujasusi hapa ndio uwoga na usalama wa watawala kama zile kauli za mwendazake tu hofu kuhusu wageni je uraia pacha.

Uraia pacha utaweza kuwa saidia raia kupata tender kubwa na makampuni makubwa ambayo kwa serikali iwezi kukubari ikitaka kama mtu mgeni.

Swala la mwisho/hitimisho
Sio kwamba wanashindwa kukubari bali mbinu za kuendelea kubaki madarakani ndizo zinawataka kupunguza mambo kuonekana Kuna demokrasia.

Tuendelee kuzindua matundu ya vyoo mpaka mtandao ufikie kwenye 9G.
 
Back
Top Bottom