ur proffessional please!

nataka mbwa mrefu mwenye hips tena mwenye macho kumchuzi ili awe anawavutia madume wote wa mtaani wajikute wanakuja kummendea kumbe wanalinda kwangu!

Huyu yupo ila bei yake ni dola 500 yuko katika hali nzuri
 
Mh, kumbe tunatakiwa tujitaje kazi zetu ili tufanyiwe Tathmini?

ndo maanake, lazima uwe useful. kama unaweza kunipigia debe wateja wakaongezeka kwenye ile biashara yangu, naweza kukuconsider!
 
Is he handsome? Nistue tufanye mambo, maisha bora kwa kila mdanganyika
yan we ni wa muhimu sana kwangu, kuna tajiri moja humu lenyewe linajidai kuturusha roho na vijisent vyake, ngoja nikupm tufanye mchongo kulitapeli. . .
 
Ya size gani? namaanisha inayoweza kusambaratisha kijiji, mtaa, au mji?

Lenye uwezo wa kulipua, kulipua ile ile :gossip: ibaki vumbi , tu na yule yule :gossip: abaki mchanga tu,

NADHANI UMENIELEWA...???
 
Lenye uwezo wa kulipua, kulipua ile ile :gossip: ibaki vumbi , tu na yule yule :gossip: abaki mchanga tu,

NADHANI UMENIELEWA...???

Down payment US DOLLAR 2,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,
 
Hizi inabidi atumie yale malori ya samsung kuzibeba kwa coins! Kha!

Afu usikute ile binduki yangu wewe ndo uliiba mie nakomaa na Kongosho na ki-Nyani Ngabu bure! Utapata dhambi za bonus!
Down payment US DOLLAR 2,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,
 
ndo maanake, lazima uwe useful. kama unaweza kunipigia debe wateja wakaongezeka kwenye ile biashara yangu, naweza kukuconsider!

hadi Kikweeete ananitambua kwa hilo. We niambie unataka wateja wa hadhi gani nikuletee fasta...
 
Kutana na mimi ODM, mi KULI wa kujitegemea. Kama una mzigo usihangaike sana kutafuta mbebaji. Just PM me and I will be there kwa huduma.
Unapatika wapi kuli? Nina mizigo yangu inahitaji mtu mwenye proffessional yako!!!
 
@Mr.Rocky yan wewe nakuhitaji sana, make natafta dawa ya kuiba mume wa mtu lakini nisikamatwe na mkewe. hebu jongea chemba basi

charminglady we niPM tuu jina lake nafanza mamvo yangu huku then utaona matunda yake then nitakuambia namna ya kutuma pesa ukishafanikiwa maana huku porini niliko hakuna cha mpesa wala tigo pesa wala nini
platozoom nina mpango wa kukiangamiza kijiji fulani hapa wamenichukulia utaalam wangu wa dawa. Naweza pata bomu la kuangamiza kijiji
@
 
Last edited by a moderator:

it is not I, but the government is forcing me into that! Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…