CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
Kwa mahesabu haya , unampa Wns picha ipi ? Kwamba nae keshapata ufumbuzi , nae awahi kwa Byshanger ?
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.
Me Jambazi kama una dili yeyote ni-PM tu au kama unahitaji silaha ya aina yeyote kama AK 47, SMG, gobore nkomogho, nati, rungu just call me.
Pia najishughulisha na wizi wa ng'ombe ofisi zangu ziko Sirari, Magena, Nyamwaga,Nyamongo na Kurutambi
i CHEAT the ones i used to TEACH
niko Rombo mashati kazi yangu kutengeneza pombe aina ya mbege kama una hitaji kwa ajili ya sherehe unaweza nitafuta pia kwa rejareja inapatikana kitochi kimoja jero
aaah,we hutufai hata kwa kulumangia. . . jaribu tena baadae e e e . . . baadae e e e. . .
Me Jambazi kama una dili yeyote ni-PM tu au kama unahitaji silaha ya aina yeyote kama AK 47, SMG, gobore nkomogho, nati, rungu just call me.
Pia najishughulisha na wizi wa ng'ombe ofisi zangu ziko Sirari, Magena, Nyamwaga,Nyamongo na Kurutambi
Aeronautica nipo NASA , mwezini ndio kituo changu cha kazi...
mimi ni muuza mbwa sema unahitaji mbwa wa aina gani?
mimi ni muuza mbwa sema unahitaji mbwa wa aina gani?
nahitaji nuke bomb :gossip:
me nahitaji mishale na mapanga. make huku mtaani kwetu kuna vibaka wanaiba hadi wali na sufuria lake!