Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
are you still teaching? As for me,from the day the government dismissed our claims i made a slight change to my career, i switched from teaching to cheating,and i discovered it aint that much different you know!
Mie ni tapeli wa kisasa. Nina kampuni inaitwa 'tunatapeli.com'
Leta mchongo wowote, $,,£, au ¥ feki. Maji ya viroba, konyagi mwitu, saa na tv feki kila kitu kinauzika. Im a jackal of all trades
morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa, wanasheria kama rutashobolwa na wenginie. hakimu Judgement ila sina uhakika. haya tajeni proffesional zenu tufahamu. . .
Mbona we hujataja yako? Anywaiys. . .mimi ninauza unga aina zote, kwani ile RR Sport yangu nitaiwekea mafuta na nini.. .
nani huyo? Erickb52 yule dalali wa pale stendi kuu? au yule mwandishi wa hadithi Mtambuzi? au unamuongelea yule kijana ambaye ilimchukua miaka sita kupata ka degree kake ka sosholoji akajiita mtoto six? au unamuulizia yupi?@Smilling Saint mbona hujantajia nanilii yule nimesahau username yake. nkumbushe basi
duh,kumbe yangu sijataja eeh? mie ni msusi wa nywele aina zote. kwa wadada na wakaka wanaopenda kufuga nywele. nasuka yeboyebo, vitunguu,mabutu,mbenjuo, tatu kichwa, pia nasuka weaving
are you still teaching? As for me,from the day the government dismissed our claims i made a slight change to my career, i switched from teaching to cheating,and i discovered it aint that much different you know!
Na huo mgongo mdogo wangu, mmmh! Wanafunzi wanakomaje?
morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa, wanasheria kama rutashobolwa na wenginie. hakimu Judgement ila sina uhakika. haya tajeni proffesional zenu tufahamu. . .
nilikuwa mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu.... LoLz
duh,kumbe yangu sijataja eeh? mie ni msusi wa nywele aina zote. kwa wadada na wakaka wanaopenda kufuga nywele. nasuka yeboyebo, vitunguu,mabutu,mbenjuo, tatu kichwa, pia nasuka weaving
nilikuwa mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu.... LoLz
nilidhani unasuka na kilimanjaro nimlete mke wangu kwako!!
Ni 'profession(s)' na siyo professionals.