Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Kuna biashara inaendelea hapa!!??
Biashara ya kuuziana alizeti
Kuna biashara inaendelea hapa!!??
Kutana na Madame B hapa,
Nakodishwa kwenye Kusuta Wanawake na Wanaume Wambea,
Bei inategemea na aina ya usutaji.
Karibuni wateja.
Ha ha haaaaa!!! Wewe kweli umepinga kama avatar yako.
Biashara ya kuuziana alizeti
Aisee kweli?
Hakuna unaetaka kumsuta?
Nitakupa na Bonus.
bonus ya nini? Kumchamba au?
be right back, nina issue huku pm!
Alizeti mafuta?
Bonus ya matarumbeta siku hyo.
Si unajua raha ya msuto Kicheko!
Duh!!! unasuta kwa kutumia nini? makopo ya chooni, vifuu au?
Ha ha haaaaa!!! Ukiona siri inakuzidi uzito wewe kachimbe shimo halafu utoe ya moyoni
hahahahah kwa kichina tunakuita shifuu maana yake-master...mastermind behind everythin hahahahahaaa
Mh!
Haya bhana.
Hopefully you mean business!
Exactly. Nahisi platozoom ana neno na ummu kulthum kwa siri?