Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,666
- 70,314
Hajapata hata bebe mbona?.
Hajapata hata bebe mbona?.
Kazi kwenu mashangazi mumsogeze sogeze kijana ingali hajapata maokoto ya kumiliki masistaduHajapata hata bebe mbona?.
Sio kila shangazi anatoa huduma za kusogeza vijana...Kazi kwenu mashangazi mumsogeze sogeze kijana ingali hajapata maokoto ya kumiliki masistadu
wengine wanaishia kutoa huduma za ushauri?Sio kila shangazi anatoa huduma za kusogeza vijana...
Kama kijana ana busara atapokea ushauri na kwenda zake...wengine wanaishia kutoa huduma za ushauri?
siyo hawa vijana wa mwendokasi wenye upwiruuKama kijana ana busara atapokea ushauri na kwenda zake...
Watajijua na maupwiru yao...hsiyo hawa vijana wa mwendokasi wenye upwiruu
25 yrs ko bado una mwendo kdg tafta kwenye groups za whatsup huko mchat cku zinaenda kas soonFoolish age mwisho miaka mingapi ?
25 yrs now bado kuna mwendo usikate tamaa nenda hata kwenye groups za whatsup wapo wengiFoolish age mwisho miaka mingapi ?
niliipenda ile comment yakoNdiwooooooh![]()
kuna kitu kaona kwenye videoSasa totoo kwa umri huo ushaanza kuteswa na upweke, unaona shida n nn
una mwambia kijana wa watu atafia kifuani😅, sijui kiama akiulizwa ulikufaje atajibu nnIpiii??![]()