Upweke Utaniua

Upweke Utaniua

Foolish age hiyo, unavoona madogo wenzio wanabang na bebez nyingi nyingi basi unajiona wewe uko nyuma ya muda, na usikute na wao wanatamani kua kama wewe ila hawawezi na wewe unatamani tena kua kama wao.

Ni utoto tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitamfanya awe mnyongee bureee.

Wanashikiliaga kiuno hao hata nguvu ya kushani huipati ooooh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu wana kiharufu cha kibeberu
 
21yrs unakuta unamvimbia mtu hapa Jamiiforums ambaye ana 50yrs.

Huwa naona post zako za Simba na Yanga kumbe ni mtoto unabishana na wazazi wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si mpira mkuu
 
Wanashikiliaga kiuno hao hata nguvu ya kushani huipati ooooh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu wana kiharufu cha kibeberu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 21 yrs anikaushee kizazi mie?? Hata kukomaa hajakomaa, udugu hebu niwacheee bhanaas
 
Back
Top Bottom