Una kitu mkuu, utafika mbaliFoolish age hiyo, unavoona madogo wenzio wanabang na bebez nyingi nyingi basi unajiona wewe uko nyuma ya muda, na usikute na wao wanatamani kua kama wewe ila hawawezi na wewe unatamani tena kua kama wao.
Ni utoto tu.
soma tena upumbavu ulioandika....As a man you have to embrace living in your singularity.
You just want to feed your dopamine by ejaculations nothing more.
na wewe ulizingua usingetaja umri wako humuUna kitu mkuu, utafika mbali
Mwache dogo aseme ukweli asijekutana na mashangazina wewe ulizingua usingetaja umri wako humu

Kwamba ww katika umri huo wa Esther wa Baba Jose wa Mbalizi.... Tyr ni Great Sinker

Esther wa baba Josepambana na upweke usiskilize upumbavu wa humu.... loneliness killsWajinga hao wanadhani kuwa mkubwa kiumri ndo kuwa mature mentally
hajasema anataka mpenzi lakini😂Mwache dogo aseme ukweli asijekutana na mashangazi![]()
Msanii huyo banahajasema anataka mpenzi lakini![]()

Afu nasikia kwenye chama chenu kuna mmoja amejitoa umebaki wewe na wenziopambana na upweke usiskilize upumbavu wa humu.... loneliness kills

wee mi najichuaje wakati watoto wazuri kaa nyie mpo😂Afu nasikia kwenye chama chenu kuna mmoja amejitoa umebaki wewe na wenzio![]()
Wewe si ndio unakaa na zile fomuwee mi najichuaje wakati watoto wazuri kaa nyie mpo![]()

21 yrs anikaushee kizazi mie?? Hata kukomaa hajakomaa, udugu hebu niwacheee bhanaas




nawawekea tu harakati zao sifanyi😅Wewe si ndio unakaa na zile fomu![]()
Udugu kula chuma hiko ukamuonyeshe kilichomtoa kanga manyoya![]()



udugu jana ulisemajee? Afu muambie CW asijisahaulishe nasubiri mie hapa.Vice versa is true.soma tena upumbavu ulioandika....
punguza mihemko