Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,758
Waislam bwana sasa miaka 21 unatafuta majukumu kazi ya udereva unamuendesga Kanji Bhai. Tulia tafuta hela na ujijenge kimaisha. umenunua sabufa tayari akili imeoza na nyege.Habari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja![]()



