Upweke Utaniua

Upweke Utaniua

Habari wakuu

Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.

Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.

Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali

Nguvu moja
21yrs unakuta unamvimbia mtu hapa Jamiiforums ambaye ana 50yrs.

Huwa naona post zako za Simba na Yanga kumbe ni mtoto unabishana na wazazi wako.
 
Miak chini ya -25 upweke Una utoa wap mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom