3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,249
- 6,979
hahaha hadi bwana uto katoa ya moyoniTatzo huna consistency katika utoaji maoni ndo maana huwa maoni yako yanapuuzwa.Huna unachokisimamia hvyo wanakuona kama M.A.LA.Y wa mpira.

Sitaki shobo na kolo mmhahaha hadi bwana uto katoa ya moyoni
Bocco ifike mahala apishe majukumu ya uwanjani kwa mapenzi mema ya club, hana anachokifanya kwasasa ndani ya uwanja Pablo nae bado hajatulia na kikosi cha ushindi ni kama mtu ambaye anatapatapa ifike mahali tupaze sautii maana tunaoumia ni sisi mashabikiYaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha Kuwaanzisha unawaingiza baadae kabisa?
Yaani kabisa Kocha Sisi Watu wa Mpira tumeshaona kuwa John Boko tayari 'Kwishnei' Kisoka halafu Wewe unamtetea huku ukiendelea Kumpanga Kikosini wakati una Vijana au Wachezaji wengine very Competent wa Kuisadia Timu?
Tayari Kocha uko na Kikosi na umeshaona ukitoa tu Meddie Kagere huna tena Mshambuliaji mwingine unaacha kuuambia Uongozi uachane na Chris Mugalu ili haraka tusajili 'Striker' mpya unabaki kudemadema tu utafikiri Ligi Kuu ya NBC ni ya Babu zako uliowaacha huko Kijijini Kwanu Hispania?
UKWELI MCHUNGU
GENTAMYCINE mpaka sasa nawapa 75% Yanga SC kuwa Mabingwa labda tu 'Complacency' iwagharimu na wasipouchukua Ubingwa nitawadharau kuliko Maelezo kwani Kiuhalisia na Kimazingira wana dalili zote za kuwa Mabingwa.
KWENU WANA SIMBA SC WENZANGU
Ili Yanga SC isiwe Bingwa inatakiwa ama ifungwe Mechi 3 au itoke Sare Mechi 4 je, tukiacha Unafiki na Ushabiki wetu mnadhani kwa Yanga SC hii ya sasa na walivyojipanga Kimkakati ndani na nje ya Uwanja hili litawezekana?
Na kumbukeni wakati huo tunaiombea mabaya haya Yanga SC na Sisi Simba SC tunatakiwa Kushinda tu Mechi zetu zote zilizobaki je, kwa Upuuzi na Ubovu wa Kocha Pablo mnadhani Simba SC yetu hii itaweza kulifanya hili wakati tuna Wachezaji dhaifu na wasio na Uchungu na Simba SC yetu?
LAWAMA KWA VIONGOZI WA SIMBA SC
Uongozi wa Simba SC wa sasa hauko serious na umewekeza zaidi katika Mapato na Biashara lakini siyo Ushindani wa Simba SC Uwanjani.
Wenzetu ( Watani ) zetu wanasajili Majembe ili Kujiimarisha zaidi Kiushindani Sisi kutwa tunahimizwa tu Kuchangia Ujenzi wa Uwanja wetu ili Ujengwe haraka kana kwamba TFF wametufukuza katika Viwanja vilivyopo.
NANI KASEMA HAJI MANARA KWENDA YANGA SC HAKUNA MADHARA YOYOTE KWA SIMBA SC YETU?
Tena Kuondoka kwa Haji Manara Kumetuathiri pakubwa Simba SC kwani alichokifanya Manara ni kuwaambia wana Yanga SC ( Viongozi na Wadhamini ) Siri zote zilizoipa Ubingwa mara Nne ( 4 ) na Yanga SC sasa nao kupitia GSM na Pesa walizonazo wanapita mule mule alikokuwa akipita Simba SC ( hasa Tajiri Mo Dewji ) na kwa Kujidhatiti Kwao kubakia Kileleni mpaka Watangazwe Mabingwa.
MIUJIZA
Najua duniani kuna Maajabu ( Miujiza ) ya kwamba pamoja na Yanga SC kutamba hivi ila nao wanaweza Kuukosa Ubingwa huu na Simba SC akauchukua tena.
Kwa Uchezaji mbovu wa Simba SC wa sasa na Umakini wa Yanga SC ni Mwendawazimu tu pekee atakataa kuwa hadi sasa ( leo ) Yanga SC ana 75% za kuwa Mabingwa.
LAWAMA NA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU
Kuna Watu wanadai Simba SC inaonewa na kwamba Yanga SC wanapendelewa.
GENTAMYCINE nakataa isipokuwa ninachojua tu ni kwamba Yanga SC imesajili Wachezaji wa Matokeo na Simba SC tumesajili Wachezaji wa Maonyesho na 10% kwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC.
Upuuzi mwingine ni huu baada ya Kufungwa na Mbeya City na Leo kutoa Suluhu na Mtibwa Sugar FC baadhi ya wana Simba SC wanadai Viwanja vilikuwa Kikwazo.
Nami nauliza kama Viwanja vya Sokoine ( Mbeya ) na Manungu ( Morogoro ) ni Vibovu na Kikwazo Kwetu Klabu yetu ya Simba SC imejenga wapi Uwanja wake?
Na kama Viwanja vilikuwa ni Vibovu vya Mbeya na Morogoro imekuwaje Wapinzani wetu wenye Miguu na Nguvu sawa na Sisi wao wameweza Kuvicheza na wala hawalalamiki au Kudeka kama Sisi?
NINI KIFANYIKE KWA SASA?
Tuache Kuiwazia Yanga SC 24/7 na Kucheza Mechi zao Kifitna ili Wafungwe au Watoke Sare tuweze Kuwakaribia bali tujitathmini wapi tumekosea kwa Msimu huu, tujisahahiihishe na tucheze Mechi zetu Kimkakati na tusiruhusu tena Kufungwa au hata kutoka Sare Mechi nyinginezo kuanzia sasa.
HITIMISHO
Wana Simba SC tukubali tu kuwa Kutesa ni kwa zamu na Watani zetu Yanga SC kwa Msimu huu wapo vyema na walijipanga vvema Kimkakati ( hasa Ndani na Nje ) ya Uwanja.
Viongozi wa Simba SC amkeni haraka!!
Cc: Daudi Mchambuzi
kollo ni msanii wa muziki yuko kenya nenda youtube kamsechi tafuta jina jingine bwana utopoloSitaki shobo na kolo mm
Pesa ya kusajili hatuna!Mashabiki na wanachama wa Simba mtalaumu kila mtu safari hii kuanzia MO, benchi la ufundi, viwanja mpaka TFF na hamtapata suluhisho la matokeo mabovu. Ukweli mchungu ambao wapenda mpira wengi hawaoni ni kuwa kiufundi Simba ipo vizuri sana lakini inakosa mshambuliaji wa kati namba tisa mwenye uwezo na hadhi ya kuchezea timu kubwa kama Simba. Yaani washambuliaji wa Simba wote ni kama wamepigwa "super glue" mabeki wa timu pinzani wala hawapati shida kila mipira ya juu ikija wanaocheza wao pamoja na urefu walio nao washambuliaji wa Simba. Yaani mabeki wa timu pinzani hawapati kashi kashi kabisa. Fowadi za Simba Kagere, Mugalu na Boko wamekuwa baridi kweli kweli.
Na kama viongozi wa Simba hasa kamati ya usajili na kamati ya ufundi wangekuwa waungwana wangetoka hadaharani bila kushurutishwa kuwaomba msamaha wapenzi na mashabiki wa Simba kwa kushindwa kusajili mshambuliaji wa maana dirisha kubwa na mbaya zaidi wakarudia kosa lile lile wakati dirisha dogo. Nilitoa maoni yangu hapa kabla ya dirisha kubwa na dogo pia kuwa Simba wanapaswa kuachana na mshambuliaji mmoja wa kimataifa kati ya Kagere au Mugalu kadiri wao watakavyoona inafaa halafu walete mshambuliaji mmoja mkali zaidi yao. Nikaenda mbali kuwaambia watafute mbadala wa muda mrefu wa John Boko kwa aidha kumsajili Lusajo au wampandishe Andrew Michael wa Simba "B" ili apate uzoefu wakati huo Boko atumike kwa dakika zisizozidi ishirini uwanjani. Na msimu ukiisha Boko angehamishiwa kwenye benchi la ufundi au majukumu mengine yoyote ndani ya Simba kutokana na mchango wake mkubwa kwa Simba japo amekaa muda mfupi Simba
Kuna watu hawapa eti wanamtaja Kagere kwa kuwa tu alikuwa mfungaji bora miaka miwili mitatu iliyopita. Hivi unamfananisha Kagere huyu wa sasa na yule aliyefika tu Simba kutoka Gor Mahia? Kagere wa wakati ule alikuwa akiwekewa mpira kwenye njia akimlalia beki basi unaona jicho moja limefungwa mnarudi kati. Na alikuwa kila saa yupo kwa kipa wa timu pinzani hata akirudishiwa mpira na beki ilikuwa lazima ahakikishe huyo kipa kaudaka au mpira umetoka na alishawahi kufunga magoli mengi kwa mtindo huo. Kiufupi alikuwa na pumzi, nguvu na alikuwa hakati tamaa kirahisi. Tatizo lingine kubwa sana kwa Kagere ni "control" chumba. Hawezi kutuliza mpira vizuri wala kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani. Na sasa ana hali ngumu zaidi kwa sababu mabeki laini laini aliowakuta miaka miwili mitatu hawapo tena. Sasa hivi kwenye ligi inatakiwa fowadi mwenye kasi, control na uwezo mkubwa wa kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani ile habari ya kuwekewa kwenye njia we unamilza imeshapitwa na wakati kwenye ligi yetu. Mabeki hata wa timu ndogo kwenye ligi yetu wote sasa wameng'ata ndimu.
Kwa Boko kwa kweli umri na majeraha ya mara kwa mara yameathiri sana kiwango chake. Na toka aliporudi uwanjani amekumbana na presha kubwa ya mashabiki kiasi imemuathiri kisaikolojia kwa sababu anataka kuwaonyesha mashabiki wake kuwa hajaisha matokeo yake ndio anaharibu zaidi. Mimi naamini Boko kaisha lakini sio kwa kiwango hiki anachokionyesha. Na hili linathibitisha kuwa Simba haina mtaalamu wa saikolojia kwa ajili ya wachezaji na hata kama yupo basi ana uwezo mdogo sana. Boko akitulia kidogo bado atafunga lakini si kwa kiwango cha misimu iliyopita.
Mugalu huyu katika washambuliaji wote wa Simba ndiye anasikitisha kweli. Jamaa ana control, nguvu, pumzi, umbo zuri, urefu unaotakiwa kwa mshmbuliaji wa kati yaani kiufupi amekamilika hasa na kila kitu anafanya kwa usahihi uwanjani kwa asilimia zote lakini sasa linapokuja suala la kutumbukiza mpira golini ambalo ndio jukumu mama la mshambuliaji nyoyote jamaa haoni goli. Sijui kalogwa? Mbaya zaidi Mugalu alipofika alithibitisha uwezo kwa kufunga kwa mashuti ya miguu yote na hata kwa kichwa. Sasa sijui anakwama wapi.
Mpaka sasa nashindwa kabisa kuelewa ni kwanini kamati ya usajili/ufundi hawakuona tatizo hili safu ya ushambuliaji ya Simba toka msimu uliopita wakati kwa mtu wa kawaida anayefuatilia mpira alikuwa anona hilo tatizo? Kwa hili inabidi hizo kamati zijitathmini sana uwezo wao. Kwa sabau suala kubwa sio tu kwa kuwa msimu uliopita Simba ilikuwa inashinda walitakiwa kuangalia Simba inapataje magoli yake? Ukiangalia magoli mengi yalikuwa ni "assist" za Chama na Luis au mabeki wa timu pinzani wameenda kuwakaba Chama na Luis ndipo wakina Boko, Mugalu na Kagere walikuwa wanapata nafasi za kufunga kirahisi.
Hiyo ni maana yako,Yangu na unayotakiwa kujua ni hii,KOLO NI SHABIKI YEYOTE WA TANZANIA NA NJE YA TZ ANAYESHABIKIA KLABU YA WAHUNI YA SIMBA SCkollo ni msanii wa muziki yuko kenya nenda youtube kamsechi tafuta jina jingine bwana utopolo
Elezea point,kama alivyochambua yeye. Hapo wewe ndio unapayukaHuyo jamaa hajui mpira kazi yake ni kupayuka tu hapa!
Basi viongozi wangesema tu wazi kuliko kukaa kimya sasa kifo kinawaumbua. Lakini bado walikuwa na uwezo wa kusajili mshambuliaji walau mmoja wa hapa nyumbani angewasaidia sana kuliko hii aibu wanayoipata sasa hivi.Pesa ya kusajili hatuna!
Kagere miaka 45
Mugalu 39
Chama 40
Onyango 48
Zimbwe 35
Mkude 38
Mzamiru 40
Dilunga 36
Shikamoo jazz
makolo ubingwa msahau na mmadrada wenu wa mchongo aandae mabag yake kabisa soon mnamtimua
sawa kabwiliHiyo ni maana yako,Yangu na unayotakiwa kujua ni hii,KOLO NI SHABIKI YEYOTE WA TANZANIA NA NJE YA TZ ANAYESHABIKIA KLABU YA WAHUNI YA SIMBA SC
Wewe ni SIMBA kweli?,nina wasiwasi.Je, unaweza kuthibitisha SIMBA kubebwa?.ukweli mchungu kama huu ndo unaweza kutuvusha na sio kudanganyana eti vyura wanabebwa, ukiitazama league tangu ianze kiuanamichezo utagundua simba tumebebwa mechi nyingi na uto wamebebwa mechi 1 tu ile ya namungo.
kama kweli viongozi na wapenzi wa simba tunataka kurejea ktk makali yetu ni lazima kuufanyia kazi ukweli mchungu ulioletwa na mtoa mada kwenye chapisho hili.
NB:ubingwa bado hauna mwenyewe ikiwa tutasolve matatizo yetu haraka.
Pita kushoto tusipangiane ,pia mm sio shabik maandaz kusifia sifia hata pale timu inaonekana inapwaya ,wewe endelea kusifia na kuishi kwa kukariri Ila kwa mm naona kabisa timu haijitumi pia Haina fowards wa kueleweka.Wewe unatumwa na mihemuko. Haya tupe takwimu Simba kafungwa mara ngapi ili uipe nguvu hoja yako. Vinginevyo na wewe si shabiki wa mpira bali mpiga kelele tu.
Yes kagere Ni afadhali Kati ya mugalu na bocco lakin kwa Simba ambayo inaimbwa pia haipaswi kuwa na forward mzee Kama kagere wakat wake umepita .Mkuu utanisamehe nimekutusi kimoyomoyo, Kagere yupi ambaye unamsemea hapa? Huyu huyu top scorer kwa misimu miwili mfululizo au? Huyu huyu aliyekuwa anatokea bench halafu akamaliza na goli 13 au?
Kagere sio tatizo, tatizo ni anaocheza nao, kutoka Okwi, Chama, Miquison mpaka kuwekewa winger Kibu na wakina Dilunga bila shaka ushaona tofauti?
Cha mwisho nikukumbushe tu Kagere ndio top scorer wa Simba msimu huu, acha mihemko.
We mtu Ni mtu wa mpira haswaaa,Kuna jamaa hapo juu kanishambulia kisa nimemsema kagere kuwa Hana maajabu Zaid analeta habar za top scorer yaan analeta historia wakat watu wanataka matokeo Sasa hivi.Mashabiki na wanachama wa Simba mtalaumu kila mtu safari hii kuanzia MO, benchi la ufundi, viwanja mpaka TFF na hamtapata suluhisho la matokeo mabovu. Ukweli mchungu ambao wapenda mpira wengi hawaoni ni kuwa kiufundi Simba ipo vizuri sana lakini inakosa mshambuliaji wa kati namba tisa mwenye uwezo na hadhi ya kuchezea timu kubwa kama Simba. Yaani washambuliaji wa Simba wote ni kama wamepigwa "super glue" mabeki wa timu pinzani wala hawapati shida kila mipira ya juu ikija wanaocheza wao pamoja na urefu walio nao washambuliaji wa Simba. Yaani mabeki wa timu pinzani hawapati kashi kashi kabisa. Fowadi za Simba Kagere, Mugalu na Boko wamekuwa baridi kweli kweli.
Na kama viongozi wa Simba hasa kamati ya usajili na kamati ya ufundi wangekuwa waungwana wangetoka hadaharani bila kushurutishwa kuwaomba msamaha wapenzi na mashabiki wa Simba kwa kushindwa kusajili mshambuliaji wa maana dirisha kubwa na mbaya zaidi wakarudia kosa lile lile wakati dirisha dogo. Nilitoa maoni yangu hapa kabla ya dirisha kubwa na dogo pia kuwa Simba wanapaswa kuachana na mshambuliaji mmoja wa kimataifa kati ya Kagere au Mugalu kadiri wao watakavyoona inafaa halafu walete mshambuliaji mmoja mkali zaidi yao. Nikaenda mbali kuwaambia watafute mbadala wa muda mrefu wa John Boko kwa aidha kumsajili Lusajo au wampandishe Andrew Michael wa Simba "B" ili apate uzoefu wakati huo Boko atumike kwa dakika zisizozidi ishirini uwanjani. Na msimu ukiisha Boko angehamishiwa kwenye benchi la ufundi au majukumu mengine yoyote ndani ya Simba kutokana na mchango wake mkubwa kwa Simba japo amekaa muda mfupi Simba
Kuna watu hawapa eti wanamtaja Kagere kwa kuwa tu alikuwa mfungaji bora miaka miwili mitatu iliyopita. Hivi unamfananisha Kagere huyu wa sasa na yule aliyefika tu Simba kutoka Gor Mahia? Kagere wa wakati ule alikuwa akiwekewa mpira kwenye njia akimlalia beki basi unaona jicho moja limefungwa mnarudi kati. Na alikuwa kila saa yupo kwa kipa wa timu pinzani hata akirudishiwa mpira na beki ilikuwa lazima ahakikishe huyo kipa kaudaka au mpira umetoka na alishawahi kufunga magoli mengi kwa mtindo huo. Kiufupi alikuwa na pumzi, nguvu na alikuwa hakati tamaa kirahisi. Tatizo lingine kubwa sana kwa Kagere ni "control" chumba. Hawezi kutuliza mpira vizuri wala kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani. Na sasa ana hali ngumu zaidi kwa sababu mabeki laini laini aliowakuta miaka miwili mitatu hawapo tena. Sasa hivi kwenye ligi inatakiwa fowadi mwenye kasi, control na uwezo mkubwa wa kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani ile habari ya kuwekewa kwenye njia we unamilza imeshapitwa na wakati kwenye ligi yetu. Mabeki hata wa timu ndogo kwenye ligi yetu wote sasa wameng'ata ndimu.
Kwa Boko kwa kweli umri na majeraha ya mara kwa mara yameathiri sana kiwango chake. Na toka aliporudi uwanjani amekumbana na presha kubwa ya mashabiki kiasi imemuathiri kisaikolojia kwa sababu anataka kuwaonyesha mashabiki wake kuwa hajaisha matokeo yake ndio anaharibu zaidi. Mimi naamini Boko kaisha lakini sio kwa kiwango hiki anachokionyesha. Na hili linathibitisha kuwa Simba haina mtaalamu wa saikolojia kwa ajili ya wachezaji na hata kama yupo basi ana uwezo mdogo sana. Boko akitulia kidogo bado atafunga lakini si kwa kiwango cha misimu iliyopita.
Mugalu huyu katika washambuliaji wote wa Simba ndiye anasikitisha kweli. Jamaa ana control, nguvu, pumzi, umbo zuri, urefu unaotakiwa kwa mshmbuliaji wa kati yaani kiufupi amekamilika hasa na kila kitu anafanya kwa usahihi uwanjani kwa asilimia zote lakini sasa linapokuja suala la kutumbukiza mpira golini ambalo ndio jukumu mama la mshambuliaji nyoyote jamaa haoni goli. Sijui kalogwa? Mbaya zaidi Mugalu alipofika alithibitisha uwezo kwa kufunga kwa mashuti ya miguu yote na hata kwa kichwa. Sasa sijui anakwama wapi.
Mpaka sasa nashindwa kabisa kuelewa ni kwanini kamati ya usajili/ufundi hawakuona tatizo hili safu ya ushambuliaji ya Simba toka msimu uliopita wakati kwa mtu wa kawaida anayefuatilia mpira alikuwa anona hilo tatizo? Kwa hili inabidi hizo kamati zijitathmini sana uwezo wao. Kwa sabau suala kubwa sio tu kwa kuwa msimu uliopita Simba ilikuwa inashinda walitakiwa kuangalia Simba inapataje magoli yake? Ukiangalia magoli mengi yalikuwa ni "assist" za Chama na Luis au mabeki wa timu pinzani wameenda kuwakaba Chama na Luis ndipo wakina Boko, Mugalu na Kagere walikuwa wanapata nafasi za kufunga kirahisi.
Halafu Mugalu huwa ananiudhi sana, akikosa goli anatafuna Jojo!Mashabiki na wanachama wa Simba mtalaumu kila mtu safari hii kuanzia MO, benchi la ufundi, viwanja mpaka TFF na hamtapata suluhisho la matokeo mabovu. Ukweli mchungu ambao wapenda mpira wengi hawaoni ni kuwa kiufundi Simba ipo vizuri sana lakini inakosa mshambuliaji wa kati namba tisa mwenye uwezo na hadhi ya kuchezea timu kubwa kama Simba. Yaani washambuliaji wa Simba wote ni kama wamepigwa "super glue" mabeki wa timu pinzani wala hawapati shida kila mipira ya juu ikija wanaocheza wao pamoja na urefu walio nao washambuliaji wa Simba. Yaani mabeki wa timu pinzani hawapati kashi kashi kabisa. Fowadi za Simba Kagere, Mugalu na Boko wamekuwa baridi kweli kweli.
Na kama viongozi wa Simba hasa kamati ya usajili na kamati ya ufundi wangekuwa waungwana wangetoka hadaharani bila kushurutishwa kuwaomba msamaha wapenzi na mashabiki wa Simba kwa kushindwa kusajili mshambuliaji wa maana dirisha kubwa na mbaya zaidi wakarudia kosa lile lile wakati dirisha dogo. Nilitoa maoni yangu hapa kabla ya dirisha kubwa na dogo pia kuwa Simba wanapaswa kuachana na mshambuliaji mmoja wa kimataifa kati ya Kagere au Mugalu kadiri wao watakavyoona inafaa halafu walete mshambuliaji mmoja mkali zaidi yao. Nikaenda mbali kuwaambia watafute mbadala wa muda mrefu wa John Boko kwa aidha kumsajili Lusajo au wampandishe Andrew Michael wa Simba "B" ili apate uzoefu wakati huo Boko atumike kwa dakika zisizozidi ishirini uwanjani. Na msimu ukiisha Boko angehamishiwa kwenye benchi la ufundi au majukumu mengine yoyote ndani ya Simba kutokana na mchango wake mkubwa kwa Simba japo amekaa muda mfupi Simba
Kuna watu hawapa eti wanamtaja Kagere kwa kuwa tu alikuwa mfungaji bora miaka miwili mitatu iliyopita. Hivi unamfananisha Kagere huyu wa sasa na yule aliyefika tu Simba kutoka Gor Mahia? Kagere wa wakati ule alikuwa akiwekewa mpira kwenye njia akimlalia beki basi unaona jicho moja limefungwa mnarudi kati. Na alikuwa kila saa yupo kwa kipa wa timu pinzani hata akirudishiwa mpira na beki ilikuwa lazima ahakikishe huyo kipa kaudaka au mpira umetoka na alishawahi kufunga magoli mengi kwa mtindo huo. Kiufupi alikuwa na pumzi, nguvu na alikuwa hakati tamaa kirahisi. Tatizo lingine kubwa sana kwa Kagere ni "control" chumba. Hawezi kutuliza mpira vizuri wala kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani. Na sasa ana hali ngumu zaidi kwa sababu mabeki laini laini aliowakuta miaka miwili mitatu hawapo tena. Sasa hivi kwenye ligi inatakiwa fowadi mwenye kasi, control na uwezo mkubwa wa kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani ile habari ya kuwekewa kwenye njia we unamilza imeshapitwa na wakati kwenye ligi yetu. Mabeki hata wa timu ndogo kwenye ligi yetu wote sasa wameng'ata ndimu.
Kwa Boko kwa kweli umri na majeraha ya mara kwa mara yameathiri sana kiwango chake. Na toka aliporudi uwanjani amekumbana na presha kubwa ya mashabiki kiasi imemuathiri kisaikolojia kwa sababu anataka kuwaonyesha mashabiki wake kuwa hajaisha matokeo yake ndio anaharibu zaidi. Mimi naamini Boko kaisha lakini sio kwa kiwango hiki anachokionyesha. Na hili linathibitisha kuwa Simba haina mtaalamu wa saikolojia kwa ajili ya wachezaji na hata kama yupo basi ana uwezo mdogo sana. Boko akitulia kidogo bado atafunga lakini si kwa kiwango cha misimu iliyopita.
Mugalu huyu katika washambuliaji wote wa Simba ndiye anasikitisha kweli. Jamaa ana control, nguvu, pumzi, umbo zuri, urefu unaotakiwa kwa mshmbuliaji wa kati yaani kiufupi amekamilika hasa na kila kitu anafanya kwa usahihi uwanjani kwa asilimia zote lakini sasa linapokuja suala la kutumbukiza mpira golini ambalo ndio jukumu mama la mshambuliaji nyoyote jamaa haoni goli. Sijui kalogwa? Mbaya zaidi Mugalu alipofika alithibitisha uwezo kwa kufunga kwa mashuti ya miguu yote na hata kwa kichwa. Sasa sijui anakwama wapi.
Mpaka sasa nashindwa kabisa kuelewa ni kwanini kamati ya usajili/ufundi hawakuona tatizo hili safu ya ushambuliaji ya Simba toka msimu uliopita wakati kwa mtu wa kawaida anayefuatilia mpira alikuwa anona hilo tatizo? Kwa hili inabidi hizo kamati zijitathmini sana uwezo wao. Kwa sabau suala kubwa sio tu kwa kuwa msimu uliopita Simba ilikuwa inashinda walitakiwa kuangalia Simba inapataje magoli yake? Ukiangalia magoli mengi yalikuwa ni "assist" za Chama na Luis au mabeki wa timu pinzani wameenda kuwakaba Chama na Luis ndipo wakina Boko, Mugalu na Kagere walikuwa wanapata nafasi za kufunga kirahisi.
Pamoya! Nguvu Moya!Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?