zomba hivi hawa watu wanajua nini maana stihizai?? Hawa watu hawasarifiki, na ndio maana naamini kuwaNimekusoma Boflo na niliona ile stihizai uliowafanyia na nikajuwa engi wataingia kichwa nikakaa pembeni natazama unavyowarundika.
Nyelele huwa hawaachi kufanya makosa na kuandika Nyerere lakini hawakosei kuandika Safali na Omali arisema.
zomba hivi hawa watu wanajua nini maana stihizai?? Hawa watu hawasarifiki, na ndio maana naamini kuwa
hii nchi kuendelea ni ndoto.....na msingi wa matatizo yote tuliyonao chanzo chake ni Baba Msanii wa Taifa, na cha ajabu sasa
ndio wanamuabudu, na asilimia kubwa utakuta wamerithi Usanii na wanaona ndio ujanja!!
Msingi wa matatizo yote tuliyo nayo ni uongozi wa kitapeli na kifisadi kama hawa tulio nao hivi sasa. Lakini kwa upofu wenu hamuwezi kuliona hilo. Shame!
ukweli unauma.....
Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakura kama mahalage
mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamuhuli ya Tanzania
Msingi wa matatizo yote tuliyo nayo ni uongozi wa kitapeli na kifisadi kama hawa tulio nao hivi sasa. Lakini kwa upofu wenu hamuwezi kuliona hilo. Shame!
Nina mashaka na Utanzania wako na uenda hata huyo Nyerere unamjua kupitia picha zake.
Hatamkipewa miaka aliyoishi nyerere mzungumzie kuhusu yeye haitatosha na mtaomba miaka mingine tena kwan nyerere ni fani na sisi maudhui
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...
Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia
Political repression
In 1962, Nyerere created the Preventive Detention Act, which was used to imprison opposition and suppress trade unions. People disappeared and victims are estimated to be in the thousands. International human rights organization Amnesty International adopted 141 prisoners of conscience in 1977.[SUP][19][/SUP] In 1979, Nyerere had more political prisoners than even South Africa.[SUP][20][/SUP] Press was controlled through refusal of official registration.
Nyerere's prison camps for political dissidents were notorious for practices such as electric shocks, solitary confinement, and denial of basic necessaries. Almost everyone contracted diseases such as tuberculosis, according to survivors.[SUP][21]
The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[SUP][27]
[/SUP]He was criticised[SUP][by whom?][/SUP] for his vindictive actions after unsuccessfully appealing to the Pan Africanist Congress to adopt dialogue and détente with Pretoria instead of armed revolution. He supported a leadership coup that installed David Sibeko but after Sibeko's assassination he crushed PAC resistance at Chunya Camp near Mbeya on 11 March 1980, when Tanzanian troops murdered[SUP][citation needed][/SUP] and split up the PAC army into detention camps. Nyerere then pressured the Zimbabwe government to arrest and deport PAC personnel in May 1981. The PAC never recovered and despite rivalling the ANC from 19591981 quickly declined. Its Tanzanian controlled remnant gained only 1.2% in the South African freedom election of 1994.[SUP][citation needed][/SUP][/SUP]
Ili nyumba iwe imara inabidi iwe na msingi mzuri...
Mwanzilishi wa Taifa letu ni nani??
Yeye ndiye aliyetuwekea misingi ya Taifa letu...
You can fool all the people some of the time and some of the people all the time but you cannot fool all the people all the time
Exactly, hiyo maana yake ni "Art" aka sanaa.
Misingi gani hiyo ambayo mwenzetu umeiona sisi tumekosa kuiona? kwa sababu aliiacha nchi ikiwa hoi bin taabani kisiasa ama kuhusu uchumi ndio usiseme!Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.
Mwenye macho haambiwi 'tazama.'Misingi gani hiyo ambayo mwenzetu umeiona sisi tumekosa kuiona? kwa sababu aliiacha nchi ikiwa hoi bin taabani kisiasa ama kuhusu uchumi ndio usiseme!
Labda ungetufahamisha hiyo misingi mkuu!
Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.
Anyway, endelea na imani yako.Inavunjwa vunjwa kwa sababu ni...
Kaweka misingi ya kisanii
Kaweka misingi ya kidini
Kaweka misingi ya ubaguzi
Kaweka misingi ya ki dictator
Na baya zaidi katunyima elimu ili tusiweze kudai haki zetu
Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.
Mkuu sipendi kurudiarudia vitu, lakini kama yeye aliuweka Utaifa mbele, basi ujue kuwa aliwahi kumchagua Mchungaji na kumuweka kwenye nafasi nyeti kabisa katika TANU si kwa ajili ya uwezo wake bali kwa ajili ya imani yake kuu ya Ukristo.ila Utaifa aliweka mbele
Kama ni heshima ya kijeshi basi Tanzania ndio haikuwa nayo kabisaa, kila mtu alijua wazi kuwa baada ya vita na Uganda Tanzania ilikuwa kwishney isingeweza kusimama na yoyote yule.rodrick alexander said:wakati wake tulikuwa na heshima kubwa tofauti na sasa hivi hata nchi kama Malawi inatutisha