Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Ndugu Mkandara,rais wetu ni muislam,na yanayotokea ya udini,yanatokea under his watch.Unataka kuniambia yeye ni neutral ama ni upande gani kama watu wake wanatumia muda kueneza chuki za kidini?

Ok,let's say ni kweli hujui kwamba huyu jamaa ni mdini,ok pia kwamba katoa huo unaouita "uhuru wa habari"kuna radio na magazeti yenye kuspread chuki za kidini,kayafumbia macho,lakini kaliona mwanahalisi haraka sana.You can tell who he is by looking at his priorities.

Kwa kumalizia,naona hujanijibu bado kuhusiana na hayo ya vatican.Siwezi kurespond kwa huyo member aliyepita anayejiita sideeq anayekuja na maneno mepesi kuwa mfumo kristo ulikuwa kuripori kwa mwalimu vatican.Sasa sijui JK naye anaripoti wapi?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu JK ni mwanamme na kabila lake ndio kizazi cha Jakaya. Dini yake haina maana yoyote kwa Uislaam pasipo kufanya ibada za kiroho na sio kidunia, isipokuwa wewe na mimi ndio tunaitazama dini yake na kuiandika hapa otherwise it's a non issue. Udini tunauzambaza sisi wenyewe kwa kumchambua yeye na dini yake waislaam wakimtetea UDHAIFU wake kutokana na imani nyao kwamba JK anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Na dhana hiyo imetokana na kwamba kila linaloandikwa kuhusu udhaifu wa JK linaambatana na dini yake... Hapa ndipo sisi tunapokamatwa na Udini kwa sababu nina hakika JK hata kama angekuwa Baniani au Mkristu bado angefanya madudu haya haya.

Kifupi JK sio mtu mbaya isipokuwa kazi ya Urais imemzidi kimo. Toka ameingia kutawla nchi hii hakuonyesha tunaelekea wapi na anataka kufanya nini zaidi ya ahadi za U Gigolo au Casanova.. Pengine matatizo ya Tanzania aliya underestimate na kufikiria kiti cha Ikulu ni kazi ndogo sana. nawaona kina makamba na Zitto wakiingia mkenge ule ule kwa fikra kwamba kuongoza nchi kunategemea mawazo binafsi ama ujana..
 
Nimekupa thanks mkuu...maana watu wanafikiri mambo kwa juu juu sana. Udini ndio kitu gani na unamsaidia nan i zaidi ya mtu mwenye hiyo dini?
 
Kama wewe ni honest basi utakubaliana na mimi kuwa si Nyerere aliyefuta ubaguzi Tanganyika/Tanzania kwa sababu hiyo TANU iliyokuondolea wewe ubaguzi haikuasisiwa na Nyerere!Mimi, chardonnay, NY, nilipokuwa hotelini kwake, ndiye niliyemshauri kuwa wine ni cheap.......
Sideeq,
Kubali kataa lakini Nyerere was TANU and TANU was Nyerere. Bila Nyerere TANU isingefika mbali. Hata marehemu Abdulwahid Sykes alilitambua hilo.
 
hakuna uongo wowote uloandikwa kuhusu nyerere huyu mtu alikuwa ni embassador of evils in the world,, akijifanya mwema kumbe anatutandikia zulia la WAKATOLIKI kututawala,,hebu tuambieni VERTICAN ni nchi ya wapi hata iwe na ubalozi? tupeni maana ya neno CCM, tubadilishieni kwa kiingereza maana ya CCM nini? kanisa katoliki lina wabunge ndani ya bunge la muungano, lina mgao wake kutoka serikali na pia lina jeshi lake,,hata ule wimbo wa taifa umetolewa na kanisa katoliki chini ya usimamizi wa nyerere.

Vertican ndiye mdudu gani ndugu yangu?
 
Ukisoma kitabu kiitwacho "The Dark side of Mwalimu Nyerere", utakubali kuwa hakuna lililokosewa hapo!
Kitabu hicho kimo humu humu kwenye thread aliyoileta Zomba. Na nimejibu kuwa mwandishi wake, Ludovick Mwijage hakuwa innocent bystander aliyekamatwa kwa uonevu na kuswekwa lupango. Amekiri mwenyewe kuwa alishiriki katika njama za kupindua serikali. Huwezi kukiri kuwa ulikamatwa unaiba lakini hapo hapo unasema walikuonea kukuweka jela.
 
Mkuu wangu JK ni mwanamme na kabila lake ndio kizazi cha Jakaya. Dini yake haina maana yoyote kwa Uislaam pasipo kufanya ibada za kiroho na sio kidunia, isipokuwa wewe na mimi ndio tunaitazama dini yake na kuiandika hapa otherwise it's a non issue. Udini tunauzambaza sisi wenyewe kwa kumchambua yeye na dini yake waislaam wakimtetea UDHAIFU wake kutokana na imani nyao kwamba JK anapigwa vita kwa sababu ni Muislaam. Na dhana hiyo imetokana na kwamba kila linaloandikwa kuhusu udhaifu wa JK linaambatana na dini yake... Hapa ndipo sisi tunapokamatwa na Udini kwa sababu nina hakika JK hata kama angekuwa Baniani au Mkristu bado angefanya madudu haya haya.

Kifupi JK sio mtu mbaya isipokuwa kazi ya Urais imemzidi kimo. Toka ameingia kutawla nchi hii hakuonyesha tunaelekea wapi na anataka kufanya nini zaidi ya ahadi za U Gigolo au Casanova.. Pengine matatizo ya Tanzania aliya underestimate na kufikiria kiti cha Ikulu ni kazi ndogo sana. nawaona kina makamba na Zitto wakiingia mkenge ule ule kwa fikra kwamba kuongoza nchi kunategemea mawazo binafsi ama ujana..
Nimekupata mkuu,laiti angeonyesha kuchukizwa na udini ambao watu wake wanaueneza.Hata kukemea na kuwaambia slowdown hawezi.BTW hiyo Gigolo na Cassanova umenimaliza hapo.Nadhani hii itakuwa maneno ya 80's kama sikosei.Enzi hizo ukiwa kijana mdogo kama sikose?enzi za "I'm in love with the DJ"?lol!
 
Kitabu hicho kimo humu humu kwenye thread aliyoileta Zomba. Na nimejibu kuwa mwandishi wake, Ludovick Mwijage hakuwa innocent bystander aliyekamatwa kwa uonevu na kuswekwa lupango. Amekiri mwenyewe kuwa alishiriki katika njama za kupindua serikali. Huwezi kukiri kuwa ulikamatwa unaiba lakini hapo hapo unasema walikuonea kukuweka jela.
@Jasusi, hawa watu wote walioandika vitabu vya kumlaumu Nyerere wameshindwa kuandika kwamba kulikuwa na majaribio manne ya kuiangusha serikali yake. Sasa mnapojaribu kupindua serikali huyo rais anatakiwa kufanya nini zaidi ya kuwasweka watu ndani... Au walitaka afanye kama yaliyotokea huko Ghana ana Liberia?.
 
hakuna uongo wowote uloandikwa kuhusu nyerere huyu mtu alikuwa ni embassador of evils in the world,, akijifanya mwema kumbe anatutandikia zulia la WAKATOLIKI kututawala,,hebu tuambieni VERTICAN ni nchi ya wapi hata iwe na ubalozi? tupeni maana ya neno CCM, tubadilishieni kwa kiingereza maana ya CCM nini? kanisa katoliki lina wabunge ndani ya bunge la muungano, lina mgao wake kutoka serikali na pia lina jeshi lake,,hata ule wimbo wa taifa umetolewa na kanisa katoliki chini ya usimamizi wa nyerere.
can you please be serious?kanisa katoliki lina jeshi na wawakilishi bungeni?hivi mnalidharau hili jamvi kiasi hiki?weka facts acha story za magengeni.
 
@Jasusi, hawa watu wote walioandika vitabu vya kumlaumu Nyerere wameshindwa kuandika kwamba kulikuwa na majaribio manne ya kuiangusha serikali yake. Sasa mnapojaribu kupindua serikali huyo rais anatakiwa kufanya nini zaidi ya kuwasweka watu ndani... Au walitaka afanye kama yaliyotokea huko Ghana ana Liberia?.
Mimi nashangazwa kwanini serikali ya mwalimu ilipata majaribio mengi ya kutaka kupinduliwa na sasahivi mafisadi hawapinduliwi?ama watu wa enzi hizo ni watofauti?kuna namna haya mambo ya uhuru wa habari yanatumika kama kuneutralise wazalendo.Ni kama a "mask" in some ways.Watu wanajiona huru kumbe kiukweli siyo huru hata kidogo..
 
Nimekupata mkuu,laiti angeonyesha kuchukizwa na udini ambao watu wake wanaueneza.Hata kukemea na kuwaambia slowdown hawezi.BTW hiyo Gigolo na Cassanova umenimaliza hapo.Nadhani hii itakuwa maneno ya 80's kama sikosei.Enzi hizo ukiwa kijana mdogo kama sikose?enzi za "I'm in love with the DJ"?lol!
Rais hawezi kukemea maneno ya watu mitaani isipokuwa pale UDINI unapokuwa Ubaguzi ktk jamii. Hapa tunatumia tu neno udini ktk ubishi uliopo baina ya Waislaam na Wakristu lakini huu sii Udini haswa maana hakuna mtu anayetumia dini yake kuwadhalilisha wengine. Waislaam wanailalamikia serikali ya CCM lakini wakristu huja juu japo hawakuombwa wala kuulizwa wao. Na mara zote serikali huchukua upande hivyo ipo dhana ya kwamba serikali yetu inaendeshwa. Ebu wewe nambie kwa nini kipengele cha dini kimeondolewa lakini kabila na jinsia kipo?..

Kama dini inaweza kuleta madhara unafikiri kabila na jinsia haviwezi?. Wapi uliwahi kusikia sensa inafanyika pasipo vipengele hivyo, hivi kwani hiki ni kitambulisho au tunahesabu watu wenye dini, makabila na jinsia zao!. Kama hawataki kuweka kipengele hiki basi tuondoe vyote vinavyohusiana na utambulisho wa mwananchi anayehesabiwa iwe kama tunahesabu machungwa.
 
mkuu waislam hawailalamikii serikali kwasababu tu ni serikali,wanalalamikia huo mfumo kristo.Hawasemi kwamba serikali iko neutral na kwamba haina dini,bali wanalamika kuhusu ukristo kwenye mfumo wa serikali.Ama ukristo serikalini.Kwa maan hiyo nadhani ndo maana wakiristo nao huwa wanajikuta wakiingia kwenye malumbano.

Kila jamii ni tofauti mkuu,na hivyo information ambazo zinakuwa collected kwenye sensa si lazima zifanane.

Kikubwa mkuu wangu,inaelekea issue ya kutofautiana kidini ilikuwa ni tatizo toka tunapata uhuru.Na kwahiyo unaweza kuona kauli kwamba serikali haina dini ililenga kujaribu kuondoa hisia za udini miongoni mwa watanzania.Na kwahiyo kwa kutumia busara,sishangazwi na hatua ya mwalimu kufuta kipengele cha dini.

kumekuwepo na watu wenye kutaka kuiandika historia upya especially kuhusiana na mwalimu na mambo haya yahusuyo dini.Kuna hata wenye kuja na kusema eti uhuru wa Tanganyika ni waislam waliupata na mwalimu anajipa credits ambazo hadeserve.Kuna aliyekuja na hoja ya wazee wa gerezani.So haya yote yanasaidia nini kama si kutafuta superiority za kidini?

Mkuu wangu hbakuna kitu mimi napenda kama usawa kwenye issue zenye kuhusu mustakabali wa wananchi na taifa kwa ujumla.
 
Kwa hiyo wewe huwezi kulalamikia Sheria law ikiwa inatumika kwa sababu wewe ni mkristu au unalalamika kwa sababu unaitazama Sheria law haitufai ktk jamii yetu?..
 
Mkuu sheria zinazowekwa na wananchi wenyewe sina shida nazo.Tuna wawakilishi ambao tunawachaguwa na tunaamini watatuwakilisha vyema kwenye kutunga sheria za kutu govern kama watanzania na si watu wa dini hii ama ile.

Kwahiyo unaamini taifa letu lina sheria za kikiristu?kama sharia law haitanizuia mimi kuupractice utanzania wangu freely,then I will have problems with it,na si sharia law tu,bali any law ambayo itaniondoloea uhuru wangu wa kuwa ninavyotaka kuwa.Sharia law kama sikosei ni ya imani moja.Taifa lina watu wa imani mbali mbali za tofauti.
 
Hivi huyo Ludovick Mwijage hana HIV/AIDS kwa kipindi chote alichokaa lupango?
 
armanisankara,
Let me come to the defense of KMV.
It is true the boers "respected" Nyerere's brilliance as they respected Mandelas. Ian Smith called him an 'evil genius," because although they acknowledged his geniusness they did not agree with it because it was against their interests.
It is like fighting in a war and you see the general on the other side using clever tactics against you. You admire the tactics but do not like the general. It was the same with Mwalimu. And by the way even in jail Mandela's jailor used to call him "sir."
jasusi do you know the meaning of evil genius. evil genius means "a brilliant person who uses his abilities for negative or harmful ends" so i don't think thats a word i will use towards someone i respect and admired. you said mandela's jailor used to call him "sir" may be on late 1980s because they knew how important he was. there was a person called robert "bob" sobukwe. this guy was alot more respected than mandela.. [1960 and 1970]
 
Mkuu sheria zinazowekwa na wananchi wenyewe sina shida nazo.Tuna wawakilishi ambao tunawachaguwa na tunaamini watatuwakilisha vyema kwenye kutunga sheria za kutu govern kama watanzania na si watu wa dini hii ama ile.

Kwahiyo unaamini taifa letu lina sheria za kikiristu?kama sharia law haitanizuia mimi kuupractice utanzania wangu freely,then I will have problems with it,na si sharia law tu,bali any law ambayo itaniondoloea uhuru wangu wa kuwa ninavyotaka kuwa.Sharia law kama sikosei ni ya imani moja.Taifa lina watu wa imani mbali mbali za tofauti.
Hapa umesema sasa kwa nini wewe hukubaliani nao ikiwa wao wanaona sheria ziliyopo zinawakwaza? Sijasema serikali inatumia sheria za Kikristu isipokuwa inawakwaza Waislaam wakati sheria hizo hizo zinapata support ya wakristu. Hivyo kuleta utata ktk udini uliopo..Waislaam hawailalamikii serikali kwa sababu ya Ukristu isipokuwa kukwazwa kwao lakini majibu negative ya matakwa yao hutolewa na wakristu japokuwa hawakuombwa wao.. Why huwa wakristu against Muslim na hasa wachungaji hutoa majibu wao na kisha serikali kuchukua upande wao?
 
Back
Top Bottom