Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,299
- Thread starter
- #21
KabisaaView attachment 3565883sina haja na mafutaš
KabisaaView attachment 3565883sina haja na mafutaš
Usikubali dharau piga mitamaKuna mkuu wa kazi amezingua big time, nimezinguliwa na jembe kati...mjinga hajielewi huyu ...ake, alafu anajiona kontawa wakati hata pensi hajui inavaliwa aje amekata miguu ya jeans iliyo pakwa kamanyola...
Nitaendelea na simulizi baadae maana nishakula soda mweleka
Af weeknd zinakuja stress za muhindiNapunguza stress kwa Spotify
Na maharagwe chai isikosekane mwambieNipo kwa mama ntilie nasubiri staff.
Namsubiri demu wa chuo flani hivi, leo acha nimchiti wifeView attachment 3565871
View attachment 3565862
AminaaaaaaaaaWazee wa majoko tuleweeeee tuleweee tu
Mchuzi ndo wa muhimu ili ilainike.Na maharagwe chai isikosekane mwambie
Kabisa af una upondo pondaa unakuwa mlain maisha haya E mungu asante ata kwa hiki kidogo š¤²Mchuzi ndo wa muhimu ili ilainike.
Sawa shemejišNamsubiri demu wa chuo flani hivi, leo acha nimchiti wifeView attachment 3565871
View attachment 3565862
Hizo zinasababishwa na tim za ItalyAf weeknd zinakuja stress za muhindi
Kabisa af una upondo pondaa unakuwa mlain maisha haya E mungu asante ata kwa hiki kidogo
Acha kabisa sio za kuzigusaHizo zinasababishwa na tim za Italy
Polisi ndo walivo dai kua atanilipa pesa alizo chukua, napitia kipindi kigumu sanaDaah pole mkuu , ko ndo unasubr huyo kibaka ndo alipe hyo pesa š
Mkuu nipo unguja sizani huku kama Kuna wagangaNenda kwa mganga awe ana jikojolea tu mda wote ata rudisha achana na polisi
Nenda tumbatuMkuu nipo unguja sizani huku kama Kuna waganga
Mbona kama Mk great land _39š¤Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia
View attachment 3565858
Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo
All in all sita wafundisha vyote sawa š
Happy Easter Day in advance
Shida una penda sana wanawake wee mpareeNiko na dipresheni za kutosha nawaza ndio kwanza tarehe 2 mpaka ifike tarehe 20 ntakuwa nmechakaa.