Upo mahala gani unapochangia Topic hii....??!

niko tandale kwa tumbo nasuka twende kilioni za buku.

Na mie nipo mitaa ya Kiboriloni nasuka yebo yebo, pembeni kuna baa ya mbege na wanachoma nyama ya Noah wananiambia panaitwa toroka uje, au hamia airtel
 
Jamani member wa JF,hv unapochangia uzi huu unakuwa ktk mkao na mahala gani?
Me binafsi nipo ndani ya Bajaj naelekea Leaders kucheki Msondo ngoma na Twanga.
Nimekunja 4 wewe je?
Mwaga data zako hapa.
niko rum nimejilaza na ipad3 yangu taratiiiiiiiiiiiibu nacheck series ya NIKITA
Huku najiliwaza na JF
 
niko kwenye kachumba flan hvi, nimechuchumaa, juu ya vitofali viwili hivi, na nimekunja uso balaa. Karibu 2we wote

we fanya haraka utoke huko unanchelewesha mwenzio! Lolz!!
 
vanilla. Hahahahahahaha. Sipo nae japo kitengo ila mi ninakund langu ndan. niruhusu plz nifanye kaz
 
Last edited by a moderator:
SALOK, sa itakuwaje? Ujue nimepga ktu cha mihogo wik mbil mfululzo, leo asubuh nimeshtua na ugal wa mtama. na maji sjaonana nayo sku zote hzo
 
Last edited by a moderator:
Wa arusha jamani,kuna aliyemwona mpenzi wangu jioni hii? Napiga hapokei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom