Upinzani watangaza mapambano 2008

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,234
0
Jasusi Naomba Utoe Hizo Sera Chap Chap Kwanini Aje Mnyika Wakati Wewe Zimekukaa Na Ni Shabiki Wa Chadema ?
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,862
1,250
darwin
huyu kijana ni akili yake haina akili .Anetetea mkono ili aende chooni.usimshangae hapo alipo anaganga njaa tena kwa nguvu .So mimi namwacha .
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,512
2,000
Ningekuwa Katika Huo Mkutano Wa Zitto Ningekuwa Mtu Wa Kwanza Kurusha Jiwe
Vipi, ulikuwa miongoni mwa wale vijana waliokamatwa kwa kumzomea fisadi Mkapa nini? Maana uzoefu wa kurusha mawe lazima uanzie mahala fulani.
 
Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
195
Sera Zimebainika Kwamba Ni Nzuri Na Bora Zinaweza Kumkomboa Mtu Yeyote Ambaye Anaamua Kwa Nia Na Dhamira Moja Kupigania Maisha Yake Mpaka Mwisho

Yaani Watanzania Mmpaka Leo Wako Pale Wanacheza Bao Wanategemea Ccm Iwaletee Ubwabwa , Wali Na Maharage ? Katika Dunia Ya Ngapi Hiyo ? Hakuna Wa Kukuletea

Kila Mbuzi Atakula Kwa Urefu Wa Kamba Yako , Sasa Kama Kambo Yako Ni Fupi Usiseme Ccm Ndio Imechukuwa Hayo Majani Yako Ni Kwa Sababu Ya Kamba Yako Wewe Mwenyewe , Ni Wewe Mwenyewe Ujitoe Hicho Kitanzi Ukapigane
Wananchi ndio watakaoamua, hizo sera unazosema sijui zinamfaidisha nani.

Na hao unaosema wanacheza bao sijui ni wakina nani?
Nina wasiwasi kwamba wewe hujui Tanzania.
 
Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
195
Sitaki kubisha inaonekana wapinzani wamewashika sana vijana wa kitanzania walio nchi za nje haswa marekani kiasi kwamba zitto anapokanyaga huko wanaona mwokozi wao kafika watu wanasongamana wanataka kumwona kupiga nae picha na vitu kama hivyo .

Pamoja na kuacha hizo namba za simu na watanzania kujitokeza kuonana nae , sera na mambo anayoongea katika mikutano hii ni zile zile , za ufisadi ambazo sasa hivi ni zilipendwa , yale yale ya epa na mambo mengine ambayo kwa hakika sio ya kujenga upinzani sio ya kujenga nchi ni ya kupasua hadhi ya nchi na watu wake nje ya mipaka yake .

Namheshimu Nyepesi na Wenzake wengi kama watanzania lakini siwezi kuheshimu na kuendelea kusikiliza watu wenye mawazo ya kuvuruga wananchi wakiwa nje ya mipaka yao huwa nashangaa kama hawana masuala mengine ya kuongea zaidi ya haya .
Sasa huyo Zitto mwenyewe hujawahi kumuona tutakuamini vipi hoja zako kwamba hana lolote. Rejea kwanza post zako za mwanzo na haya unayoandika hapa
Ningekuwa Katika Huo Mkutano Wa Zitto Ningekuwa Mtu Wa Kwanza Kurusha Jiwe
 
Kitila Mkumbo

Verified Member
Feb 25, 2006
3,349
2,000
Mada inasema upinzani unavyohadaa jamii. Ok, sasa Shy mbona husemi hicho ambacho wapinzani wanahadaa ni kipi hasa? Je, hayo mambo ya EPA ni hadaa? Naona umemshupalia kweli Zitto, ok, tuambie sasa huko America Zitto kahadaa kitu gani? Au wivu unakutesa ndugu yangu? Hao jamaa zako wa CCM kila siku wanaenda huko America na kwingineko, waambie tu na wao watoe taarifa kwa akina MWK, MKJJ, n.k watawaandalia mikutano kama watawahitaji waongee nao katika hali ya kubadilishana mawazo. Tatizo linakuja hao wabongo wa huko watakubali kuacha shughuli zao kwenda kuwasikiliza?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194

Kitila wana ccm wanakuja USA kila mara ila wanajificha maana hata hawataki ijulikane wako wapi. Kuna mheshimiwa mmoja nilikutana naye NY (kwa bahati mbaya kwangu - nzuri kwake) akanisikia nikiongea kiswahili kwenye cell phone yangu akakimbia kama hana akili nzuri vile.

Mimi nashangaa mtu mbele yangu na suti yake anatoka mkuku kuelekea upande wa pili wa Mall ikabidi nimfuatilie kujua ni nini na nani (nilifundishwa Tel Aviv mbinu za kijasusi mwaka uleeee) nikakuta ni mheshimiwa sana waziri wa ..........

Hapa hawawezi, kwani hata JK mwenyewe anaingia mtini so wana ccm hawana hata mpango wa kufungua matawi kama kina fisadi Owino huko UK.

Zitto alikuwa na ratiba ngumu lakini amekutana na watanzania kila mara kwa kadri alivyoweza na amejibu maswali yote kwa uelewa mkubwa sana na kila mtu amekuwa proud naye hapa US.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,667

Hivi Zitto ametumwa na Kikwete ama?
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,667
2,000
Mada inasema upinzani unavyohadaa jamii. Ok, sasa Shy mbona husemi hicho ambacho wapinzani wanahadaa ni kipi hasa? Je, hayo mambo ya EPA ni hadaa? Naona umemshupalia kweli Zitto, ok, tuambie sasa huko America Zitto kahadaa kitu gani? Au wivu unakutesa ndugu yangu? Hao jamaa zako wa CCM kila siku wanaenda huko America na kwingineko, waambie tu na wao watoe taarifa kwa akina MWK, MKJJ, n.k watawaandalia mikutano kama watawahitaji waongee nao katika hali ya kubadilishana mawazo. Tatizo linakuja hao wabongo wa huko watakubali kuacha shughuli zao kwenda kuwasikiliza?
Mimi si mmind huyu Shy lakini ni lazima tujiulize inakuwa vipi Zitto amtetee Kikwete wakati hajafanya anything tangible!

Huku akikwepa mswali mazito kuhusu kamati waliyoiunda yeye na Rais!?

At the same time akizungumzia kashfa za EPA ambazo Kikwete mwenyewe ameshindwa kuzishughulikia vile ipasavyo mara baada ya yeye kulegeza mapambano mara baada ya kumegewa ulaji wa "KAMATI"!
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Mimi si mmind huyu Shy lakini ni lazima tujiulize inakuwa vipi Zitto amtetee Kikwete wakati hajafanya anything tangible!

Huku akikwepa mswali mazito kuhusu kamati waliyoiunda yeye na Rais!?

At the same time akizungumzia kashfa za EPA ambazo Kikwete mwenyewe ameshindwa kuzishughulikia vile ipasavyo!
Zitto ameunda kamati na raisi?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Alah!
Sasa kwanini asiwaulize hao State Department waliomwalika wapi BALALI?

Ama na yeye kama MKJJ anaamini kafa?
Mkuu Mushi,

Hivi kweli unategemea hata kama ni wewe ukiuliza State Dept ya US aliko Balali utaambiwa? Unajua kabisa kazi za state Dept na namna wanavyofanya kazi.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,667
2,000
Mkuu Mushi,

Hivi kweli unategemea hata kama ni wewe ukiuliza State Dept ya US aliko Balali utaambiwa? Unajua kabisa kazi za state Dept na namna wanavyofanya kazi.
Nilisahaweka wazi kuwa Wamarekani kutupa Balali SI OMBI!
Sasa nani anayesimamia hayo makubaliano ya kukabidhiana watuhumiwa zaidi ya state dept?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Sasa si yeye aliyemfanya aiunde hiyo kamati baada ya kutimuliwa bungeni?
Kwanini hakukomaa na kamati ya bunge?
Kwanini hajibu haya maswali?
Zitto hakuwa bungeni wakati huo.... wabunge waliokuwa bungeni wa upinzani na wachache wa ccm walijaribu bila mafanikio kuunda kamati huru ya bunge kwenye hili.

Katika hili Zitto hawezi kujibu maswali yako maana hana power ya kutoa content ya kilichomo kwenye report mpaka aliyeunda tume/kamati atakapoitoa rasmi.

Kwa sasa Zitto atakachofanya ni kusubiria tu kama wewe na mimi kuona Kikwete atafanya nini na report ya kamati yake aliyoiunda kwa mbembwe nyingi.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,862
1,250
Ukiwa mpinzani nadhani huwezi ukapinga kila kitu .Kuna maamuzi na utashi wa mtu.Zitto kama Watanzania wengine amekuwa akiamini kwamba JK can make changes , maana hata kuna wengine hapa piga ua wanasema CCM safi angalau yeye anasema JK can do something .Kuna usemi tata hapa .Kwamba JK ana nia njema na kaonyesha nia .Mimi naupinga muda wote .Zitto anaamini JK ana nia njema so anampa nafasi yake je ni ubaya kwa Zitto kumetetea mtu anaye weza kuamini kwamba anaweza kufanya jambo ? Uhuru huu jamani wa mtu .
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Nilisahaweka wazi kuwa Wamarekani kutupa Balali SI OMBI!
Sasa nani anayesimamia hayo makubaliano ya kukabidhiana watuhumiwa zaidi ya state dept?
Ulisoma kile alichosema balozi wa US kipindi kile issue ya Balali ikiwa moto kwenye media bongo? Marekani walikuwa tayari kusaidia kumleta Balali TZ lakini serikali ya CCM kama kawaida yao waka ...........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom