Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

Naomba mawazo yako endapo wawili hawa watapitishwa kuwa wagombe uraisi na vyama vyao kwa kutoa maoni yako ni nani atatufaa zaidi ingawa naamini kabisa huu mpambano hauja-balance kabisa ila ndio hivyo tena kuna kila dali dali sasa wawili hawa ndio watakaochuana hapo Oktoba katika uchaguzi mkuu ujao.
 
pakaywatek Anachokitaka ni kupitishwa na chama kupeperusha bendera badae awe mwenyekiti. Kuna ubaya gani akisema atarudisha nidhamu ya chama?
 
Last edited by a moderator:
Mkuruka Shida ni kwamba ni Utamaduni wenu ndiyo Hauruhusu maendeleo lakini siyo ya kwamba Mwl. Nyerere hakuwabeba, aliwabeba sana sema shida hambebeki na mwishowe alishindwa, akawaundia mkoa ambao haukuwepo.

Akawapa Jeshi zima la JWTZ, mpaka waziri mkuu Warioba aliwaandalia lakini akakimbilia Mikocheni, hayo yote hayaondoi ukweli ya kwamba Mwl. Nyerere alijitahidi sana kupendelea kwao si ajabu kuliko wote waliopita!
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa aliwahi kuanzisha uzi juu ya CCM kumtema EL na kumpa Makongoro Nyerere kugombea Urais....naona validity ya ule uzi sasa.
 
Kwa kukusaidia mtoa mada wilaya maskin tanzania kwa mujibu wa takwimu za mwaka jana ni Butiama na ya pili n Bunda anakotoka Wassira, alafu unatuletea porojo zako za Nyerere kupendelea Mara.

Ni kweli Mkoa wa Mara ndiyo moja ya Mikoa Masikini klk yote Tanzania lkn hilo siyo kwa sababu Mwl. Nyerere hakuwapendelea bali kinyume chake ,Mwl. Nyerere alijitahidi sana kuwapendela lkn mkashindwa aliwapa kila kitu kuanzia kuwaundia Mkoa ambao haukuwepo, kukata Mbuga ya Serengeti na kuiweka huko kwenu lkn hakuna Mtalii hata mmoja anayeshukia kwenu Musoma kwa maana ujasiliamali umewashinda, JWTZ yote iko kwenu sasa ulitaka awafanyie nini tena?
 
Mwl Nyerere hakuwa na siasa za ukanda au upendeleo kama unavyotaka kutuaminisha.

Joseph Warioba alikuwa Waziri Mkuu baada ya Mwl Nyerere kustaafu.

1.Mkuu wa kwanza wa JWTZ CDF alikuwa Sarakikya Mirisho kutoka mkoa wa Arusha (mmeru) ambae alipandishwa cheo kutoka Capt hadi Brigadia huo ulikuwa upendeleo mkubwa ambao haujawi kufanywa na Rais yoyote 1964 - 1974.

Sema kweli, huyo hakupandishwa kwa upendeleo, hiyo ilitokea baada ya Nyerere kupinduliwa na negotiation na jeshi ndiyo ikalazimisha huyo apandishwe vyeo ili aongoze jeshi.

Umeshawahi kumsikia Ilongo?
 
Haa haaa hapakuwepo afisa mwafrika mwenye cheo kikubwa wazungu ndio walikuwa wakubwa next ndio hao kina Sarakikya kuanzia Capt na Lut.

Sema kweli, huyo hakupandishwa kwa upendeleo, hiyo ilitokea baada ya Nyerere kupinduliwa na negotiation na jeshi ndiyo ikalazimisha huyo apandishwe vyeo ili aongoze jeshi.

Umeshawahi kumsikia Ilongo?
 
Pasco unatisha aisee. da!
masikini mbavu zangu!

 
Last edited by a moderator:
Pasco this is deep dive analysis. I mean the thought are well articulated and very constructive. Nimekuwa natazama hichi kinyang'anyiro na utaona kuna watu wanatangaza nia ili tuu kuonyesha nao wapo. This will go down to the wire na watu watatu, Membe, Makongoro and Mama mmoja. Then what will happen ni kwamba kutakuwa na second run, then Membe atapita. However, CCM lazima wajue kwamba Membe sio president material, hana guts za kubadilisha upepo.

On the other-side of the coin, Ngoyaye amesha simulate all assumptions, anamjua kabisa JK how high he can fly, ameshatengeneza "IF model" ambayo labda ana majibu ya assumption zote CCM.

Lini January anatangaza? He lost touch alipo support that stupid bill ambayo imeandikwa na mtu ambae ajui hata sheria.
 
Last edited by a moderator:
Kundi la Nane ni wasaka tonge ambao wanamsindikiza Rais ili wakaianguka wapatiemo
 
Mtanganyika Mkuu, Membe akipitishwa ni anguko la CCM ,
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi CCM hawana mgombea yote yaliyopo ni mautumbo ya bata tu hakuna kitu cha maana wanafanya
 
Kutafuta mgombea wa uraisi msafi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta mwanamke bikra ndani ya wodi ya wazazi.

ccm hata wakimleta malaika kugombea uraisi sina imani nao tena tumeshawachoka na usanii .
VOTE FOR UKAWA .

kwakuwa ni Bavicha tusingetegema uwe na mawazo tofauti na hayo.
 
Back
Top Bottom